msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Naomba msaada wa kuiwezesha laini ya TTCL kuwa ya Chuo, Naomba kujua utaratibu wake
Unahitaji uwe na kitambulisho cha chuo, unaenda na kuwapa kitambulisho wanasajilia laini ya chuo.Naomba msaada wa kuiwezesha laini ya TTCL kuwa ya Chuo, Naomba kujua utaratibu wake