Naomba kujuzwa jinsi ya kufungua Google Akaunt ya kikundi cha jamii

Naomba Kujua Utaratibu wa Namna ya Kufungua Google akuanti ya Kikundi cha Kijamii (Vicoba) kwa Ajili ya Kuomba Usajili.


Msaada Mwenye Kujua naomba ufafanuzi Please.
Pelekeni katiba yenu Google, cheti Cha usajili wa kikundi, tin number yenu, na cheti cha usajili wa wa jina kutoka Brela, vitambulisho vya nida, passport photo ya kila member, kura, leseni au passport mpya, pia ni lazima muambatanishe na tax clearance certificate kutoka TRA
 
Open google-->gmail-->sign in/for work-->click for work-->Get started-->chagua idadi ya watu-->endelea na usajili
 
Back
Top Bottom