Kuondoa e-mail katika samsung acount

msuya4real

Member
Oct 14, 2016
73
125
Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa E - Mail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,951
2,000
Kuondoa inanitaka niweke Password ya Yule Mtumiaji wa Awali na hata Kufanya Restore inataka Niweke Pasword ya Mwanzo
Hio ni frp email ya Google na sio ya samsung.

Tafuta fundi mwenye box akutolee. Otherwise weka full model ya simu yako wadau watakusaidia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom