Sheria gani niitumie kumshughulikia mtu aliyeniingiza kwenye whatsapp group nisilolipenda bila kuniuliza?

K

Kisanduku

Senior Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
131
Points
225
K

Kisanduku

Senior Member
Joined Jul 9, 2009
131 225
Serikali ilianzisha sheria ya mitandao ili kulinda uhuru wa watu kulingana na matumizi ya mitandao.

Sasa binafsi nimekuwa nikijikuta naungwa kwenye makundi ya whatsapp bila kuulizwa wala bila kujua humo kundini nitachanganyw ana nani.

Wakati mwingine unajikuta umeingizwa kwenye kundi moja na mtu ambaye ulishampiga marufuku kukanyaga nyumbani kwako. Naju amtu kama huyu hawezikukanyaga kwako maana kuna sheria inakulinda kukuingilia nyumbani kwako.

Lakini kwenye kundi la whatsapp unajikuta uko naye kwa sababu tu fulani kakuunga na umejikuta uko naye.

Sasa nauliza.

Je hakuna kifungu kinachoweza kutumika kuwadhibiti hawa wanaokuunga kwenye group bila kupenda. Kama kipo nitafurahi sana maana mchezo umezidi siku hizi.

Najua humu wapo watakaojitokeza na kusema kwa nini nisibonyeze tu button ya kujotoa (Leaving the group).

Kimsingi hata nikibonyeza tayari mtu huyu ameshafaulu kunivurugua kisaikolojia kwa kuniunga na kundi la watu bila ridhaa yangu.

Vilevile kanipa usumbufu wa baadhi ya wtau kuniona mtu wa ajabu kutopenda group hasa wasiojua sababu halisi.

Je, hakuna kifungu kinachoweza kukomesha watu wa namna hii?
 
state agent

state agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Messages
497
Points
1,000
state agent

state agent

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2019
497 1,000
Leave group tu au ndio nyie mnapenda kesi mahakamani kama mtikila
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,019
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,019 2,000
Kukomoana ya nn? Leave grup, endelea na ishu zingine, hiyo itakua ni psychological fight ya kwanza kwa aliyeku-add!!
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
813
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
813 500
Sasa mkuu si una left tuu kesi za nini tena
 
MeruA

MeruA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
981
Points
1,000
MeruA

MeruA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
981 1,000
Watu mnapenda ku_complicate mambo,si u-left mkuu.
 
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,236
Points
2,000
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,236 2,000
BAADA YA KUSOMA MAELEZO YAKO KITU NILICHOGUNDUA NJAA INAKUSUMBUA TUU HUNA LOLOTE

SEMA TUU UNATAFUTA MEANS YA KUPATA PESA KUPITIA ADMN WA GROUP
Serikali ilianzisha sheria ya mitandao ili kulinda uhuru wa watu kulingana na matumizi ya mitandao.

Sasa binafsi nimekuwa nikijikuta naungwa kwenye makundi ya whatsapp bila kuulizwa wala bila kujua humo kundini nitachanganyw ana nani.

Wakati mwingine unajikuta umeingizwa kwenye kundi moja na mtu ambaye ulishampiga marufuku kukanyaga nyumbani kwako. Naju amtu kama huyu hawezikukanyaga kwako maana kuna sheria inakulinda kukuingilia nyumbani kwako.

Lakini kwenye kundi la whatsapp unajikuta uko naye kwa sababu tu fulani kakuunga na umejikuta uko naye.

Sasa nauliza.

Je hakuna kifungu kinachoweza kutumika kuwadhibiti hawa wanaokuunga kwenye group bila kupenda. Kama kipo nitafurahi sana maana mchezo umezidi siku hizi.

Najua humu wapo watakaojitokeza na kusema kwa nini nisibonyeze tu button ya kujotoa (Leaving the group).

Kimsingi hata nikibonyeza tayari mtu huyu ameshafaulu kunivurugua kisaikolojia kwa kuniunga na kundi la watu bila ridhaa yangu.

Vilevile kanipa usumbufu wa baadhi ya wtau kuniona mtu wa ajabu kutopenda group hasa wasiojua sababu halisi.

Je, hakuna kifungu kinachoweza kukomesha watu wa namna hii?
 
Forum statistics

Threads 1,315,687
Members 505,292
Posts 31,867,021
Top