Recent content by msumbi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Nataka kuona utendaji makini WA TCRA katika hili. TBC ni mali ya watanzania wote inakuwaje wanaonesha upendeleo huo waziwazi???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Habari wanajf, naombeni kufahamu matokeo ya kura za maoni katika jambo lako kwa vyama vyote kama umeyapata. Ahsante!
  3. M

    JamiiForums Tanzania G. Lema anaongoza vurugu muda huu katika kituo cha kupiga kura Osterbay Arusha

    Utakuwa mgonjwa wa akili wewe! Enzi za magamba zimekwisha!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Huyu anadhani uwaziri ni Kufunga shule na kufukuza walimu, ingawa hajathubutu kufunga shule yake mwenyewe isiyo na sifa hata kuitwa sekondari! ni vema nayeye awajibishwe katika hili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Naomba kujulishwa matokeo ya uchaguzi wa madiwani uliofanyika leo Jumapili Tar 28/10/2012
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Swali hili kawapelekee ndugu zako magamba! unaonekana umetumwa wewe!
  7. M

    JamiiForums Tanzania M4C kutua Iringa mjini kesho

    kamanda wa polisi mkoa wa Iringa usifanye kama aliyofanya jirani yako wa Mji kasoro bahari. CCM haibebeki hata kwa turubai. Nadhani utakuwa aware na hilo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Kamanda kasema yaliyo ya kweli! hiyo kauli hata mimi nimeipenda mno! hakuna anayeweza kuuzima moto wa chadema, hizo ni mvua za vuli bado masika.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shibuda kufukuzwa CHADEMA

    Tume ya nini jamani huyu mtu tumechoka naye. kazi yake kuvuruga chama. avuliwe magwanda aende kwa hao magamba nadhani ndo stahili yake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Bavicha wasithubutu kumwomba radhi shibuda, huyo ni gamba ndani ya cdm. bavicha mmeonesha ukomavu, huyo shibuda si mwenzetu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

    Wazee wa CDM tuondoleeni na huyo Shibuda, ni mzigo tu hana mchango wowote kwenye chama. Ni heri tukose mbunge kulikon kuwa na Shibuda. inauma!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili siyo siri mh. Jk hapa umechemsha.

    CCM imepata mke wa pili! haya kazi kazi kwako kuwalea hao wake zako kwa jasho la walala hoi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa maisha...!

    Ni vema ungepost reception yako kwanza! wengine hatuko interested sana na umri wala umbo. Reception kwanza!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo hili linanikatisha tamaa ya kuishi.. Nisaidieni wana jf wenzangu.

    Pole sana ndugu yangu, hilo tatizo!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Deo Filikunjomba na Nape watakuwa kwenye Jahazi jioni hii

    Habari za mbolea ya minjingu zilikuwa na umuhimu gani kwa huyu mtoto wa mkulima? hata mimi nisingethubutu kumpigia makofi! ukimya ule nayo ni mawasiliano, nadhani kuna ujumbe kaupata.
Back
Top Bottom