tetea posho mzeezitto kabwe bwana
yaani dr slaa na uzee wake ameshindwa kusuluisha kesi yake ya ndoa, kwa hilo dogo tu itakuwaje hata makubwa, hizo ndoa anatoka nazo wapi na uzee huu? Zito ana nguvu gani ya kuliongoza taifa letu? Bado no mdogo sana tena kama ana mawazo hayo basi ana uchu wa madaraka na HATAFAA! CHADEMA HAINA KIONGOZI,, WANAJITAFUTIA MADARAKA TU,SIO MASLAI YA UMMA, HATA SENSA HAWAITILII MKAZO? NI NGUMU SANA, WAKO BUSY KUWAANDAMANISHA WANANCH NA SIO KUFANYA KAZI, MAHELCOPTA YANANUNULIWA HUKU WANANCH WANAKUFA NJAA.
Kiongozi makini anayekubalika kimataifa utamuona tu hata kwa haiba yake! angalia katika picha hii wote alio nao mbele yake walivyonyenyekea kwa kumheshimu na kumkubali. Hii ni rasilimali hadimu itumieni na Mungu atakuwa upande wenu watanzania.
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
yaani dr slaa na uzee wake ameshindwa kusuluisha kesi yake ya ndoa, kwa hilo dogo tu itakuwaje hata makubwa, hizo ndoa anatoka nazo wapi na uzee huu? Zito ana nguvu gani ya kuliongoza taifa letu? Bado no mdogo sana tena kama ana mawazo hayo basi ana uchu wa madaraka na HATAFAA! CHADEMA HAINA KIONGOZI,, WANAJITAFUTIA MADARAKA TU,SIO MASLAI YA UMMA, HATA SENSA HAWAITILII MKAZO? NI NGUMU SANA, WAKO BUSY KUWAANDAMANISHA WANANCH NA SIO KUFANYA KAZI, MAHELCOPTA YANANUNULIWA HUKU WANANCH WANAKUFA NJAA.
tena wa maviNyinyi mnaotumika kuleta migogoro mnapata faida gani!!? Mleta mada umejaza funza kichwani!!!
ulichoongea ni kweli kaka,kwa zito inamaana hajielewi,sisi ni vijana wenzie lakini tunaona bado kabisa,inatakiwa kama yupo chadema ajitahidi atakapokomaa atachukua lakini hii kuropoka2 ni mbaya sanaHili swali kwakiwango kikubwa litajibiwa na vijana wa CCM, wenye nia mbaya na CDM. Ila kwa faida ya wachache wenye mapenzi na Tz, Z..Z.K bado mchanga.; na atakosa kura yangu kutokana na tabia mbaya. Mimi mtoto mdogo , ni DR. na Zito ndio walinifanya kuitambua CDM enzi ya RICHMOND. Pamoja na hayo, bado kwa busara, uwezo, utendaji, mbinu, maono ya kisiasa, Zito ni mdogo ukimlinganisha na DR. kwanini Zito asijaribu hata 2020?. Kwanini asilione hili nakupinga ccm kumchonganisha na CDM?. Kweli nashindwa kuipa CDM meza ya kufanyia kazi serikalini kama SLAA atadharauliwa kiasi hichi !!