Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

Hatutaki uchafu ndani ya CHADEMA. Fukuza majinga yote ndani ya chama. Ni bora tukose madiwani nidhamu ikabaki kwenye chama
 
Kamati kuu ya CHADEMA mkoa wa mwanza imewanyang'anya kadi za uanachama madiwani wa kata ya kitangiri HENRY MATATA na ADAM CHAGULANI wa kata ya igoma. Taarifa zaidi zinafuta

Yah Henry Matata, kama ni kweli amevuliwa ni sahihi, sababu historia yake hafai kuwa kiongozi ktk ngazi yoyote ile, ila alishinda udiwani kwa sababu aligombea kupitia CHADEMA, hivyo sababu wananchi walisha sema hawaitaki CCM, hivyo hawakuwa na mbadala wa kuchagua diwani mwingine kutoka chama kingine isipokuwa CHADEMA, sababu jamaa kama yeye binafsi hakuna anayeweza kumpigia kura.
 
ahsante mkuu na wewe naona unamfahamu vyema huyu jamaa,
Yah Henry Matata, kama ni kweli amevuliwa ni sahihi, sababu historia yake hafai kuwa kiongozi ktk ngazi yoyote ile, ila alishinda udiwani kwa sababu aligombea kupitia CHADEMA, hivyo sababu wananchi walisha sema hawaitaki CCM, hivyo hawakuwa na mbadala wa kuchagua diwani mwingine kutoka chama kingine isipokuwa CHADEMA, sababu jamaa kama yeye binafsi hakuna anayeweza kumpigia kura.
 
Sababu ni kuwa walikua wanamhujumu meya kwa kutumiwa na magamba ili kukwammisha maendeleo aonekane kashinwa,na mmoja kati yao ni hasira za kukosa umeya sasa akaamua kufanya mambo kisaliti

Fine, wanadeserve kufukuzwa, na ndo mwisho wao kisiasa hawana nafasi pengine popote pale. Henry Matata yuko tiari kutafuta pesa kwa njia yoyote ile, wala hana qualities za kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile, hivyo kwake kutumiwa na magamba ni rahisi sana.
 
Adam Chagulani nilibahatika kuwa nae pale MLIMANI..... ni moja kati ya viongozi na kijana makini... CDM isibabaike na wingi wa mamluki wanaoami sasa inabidi ijaribu kutatua matatizo ndani kwa ndani kabla ya kufukuza.... kumpoteza chagulani ni pigo
 
Mkuu Kimbunga huyu Diwani Henry Matata wa Kitangiri Mwanza si ndio mwenye Magnum Hotel?
 
Last edited by a moderator:
Yah Henry Matata, kama ni kweli amevuliwa ni sahihi, sababu historia yake hafai kuwa kiongozi ktk ngazi yoyote ile, ila alishinda udiwani kwa sababu aligombea kupitia CHADEMA, hivyo sababu wananchi walisha sema hawaitaki CCM, hivyo hawakuwa na mbadala wa kuchagua diwani mwingine kutoka chama kingine isipokuwa CHADEMA, sababu jamaa kama yeye binafsi hakuna anayeweza kumpigia kura.

Matata, kumbe ndio Diwani wa Chadema Kitangiri, nimecheka sana huyu jamaa ni nouma.
 
Wazee wa CDM tuondoleeni na huyo Shibuda, ni mzigo tu hana mchango wowote kwenye chama. Ni heri tukose mbunge kulikon kuwa na Shibuda. inauma!!!!
 
nasikia amewapa BAVICHA siku 3 wamwombe radhi,hahahahahaha huyu jamaa ni pasua kichwa asee
Wazee wa CDM tuondoleeni na huyo Shibuda, ni mzigo tu hana mchango wowote kwenye chama. Ni heri tukose mbunge kulikon kuwa na Shibuda. inauma!!!!
 
me nilikua namjibu huyo anayetaka taarifa zidhibitishwe,we nae hata hili nalo mpaka upelekwe kwa mkemia mkuu wa serikali akuelezee?

Tatizo lako ulikuwa unatisha watu badala ya kujibu hoja
 
Kama ni kwa sababu ya usaliti wanastahili, naupongeza uamzi wa CDM! Uadilifu na Uwajibikaji vilindwe kwenye chama!!
 
Back
Top Bottom