Zitto, Deo Filikunjomba na Nape watakuwa kwenye Jahazi jioni hii

Eti ukimwa wa jana bunge ni mawasiliano
wananchi wasabiri serikali inashughulikia, N.Nauyee huyooo!
 
Nape: "wabunge wanahaki ya kujadili utendaji wa serikali yao, penye kukosoa wakosoe na penye kupongeza wapongeze".
Ushauri wake: Serikali ina wajibu wa kuwa wasikivu kwa yale mapungufu walopewa na wabunge na hawapaswi kuchelewa kuyafanyia kazi kwa maana maslahi ya wananchi yanazidi kupotea.
"Mwisho wa kunukuu"
 
Mi sijasomea siasa,wala sayansi yake..

Ila bado nashindwa kutenganisha SIASA na UNAFIKI..
 
Habari za mbolea ya minjingu zilikuwa na umuhimu gani kwa huyu mtoto wa mkulima? hata mimi nisingethubutu kumpigia makofi! ukimya ule nayo ni mawasiliano, nadhani kuna ujumbe kaupata.
 
Habari za mbolea ya minjingu zilikuwa na umuhimu gani kwa huyu mtoto wa mkulima? hata mimi nisingethubutu kumpigia makofi! ukimya ule nayo ni mawasiliano, nadhani kuna ujumbe kaupata.

acha kabisa! Jina lake ni Mizengo K. P. Pinda. Ukome kumwita 'mtoto wa mkulima' Pinda ni mwizi/fisadi.
 
acha kabisa! Jina lake ni
Mizengo K. P. Pinda. Ukome kumwita 'mtoto wa mkulima' Pinda ni
mwizi/fisadi.

hahahaaaaa,watu wana hasiraje! wanataman kummeza mtoto wa mkulima...aaa sory,umesema ni nan et!
 
Back
Top Bottom