Katika hili siyo siri mh. Jk hapa umechemsha.

Bora uongoze mmbwa kuliko hii mitanzania inayokaa na kuwaza udini wakati kwenye mioyo yao hata hizo dini wanazozingumza hawana pambafu
 
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas

Ni Lazima awachague wote 10?Hivi hawa anaowachagua wanakwenda kuadd nini Bungeni ambacho wabunge wengine wameshindwa?We unaona uteuzi huu unatija kwa Taifa?au ni kupeana ulaji?
 
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas
We nafikiri ndio bogas lazima ufikirie hawa wabunge wanaenda kuongeza nini huko bungeni kama sio kuiongezea mzigo serikali?
 
Kichwa kinaniuma jamani ila yote ya yote tuache maneno tuweke utekelezaji hii nchi ni yetu wala siyo ya ccm wala jk ila kwa kuwa tumeonekana wapole kila kukicha tunafanyiwa watakalo coz hatuna says only that coz mantiki ya kubomoa baraza mm sijaona ila kwa kuwa tumedai wawajibishwe wapumbavu wachache eti suluu wakaona bora walitoe baraza ili vilaza tunyamaze eti ist coming coming to you

  • :wave:




 
Maskini JK anajaribu kuongeza nguvu labda itamsaidia kupata watakaoziba mapengo ya mawaziri watakaotemwa! Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani kati ya Wabunge lukuki wa CCM haoni nani anafaa kuwa Waziri...loh!
Wabunge wengi wa CCM ni dizaini ya Lakailo kielimu unategemea wanaweza kupewa wizara hao
 
CCM imepata mke wa pili! haya kazi kazi kwako kuwalea hao wake zako kwa jasho la walala hoi!
 
Haijasema lazima ateue, Imesema atateua, so hata hasipoteua atakuwa hajavunja katiba. The issue is, hv kwa sasa Tanzania inaitaji Mbunge mwingine wa kuteuliwa ba Rais? Hii ni kumuongezea mzigo mwananchi bila sababu.

Bwana usihofu kwani watanzania wanaweza kubeba mizigo mizito bila kuuliza, hivyo hata rais akiteua wabunge mia watz wanaweza kuwahandle
 
Je ameona alionao hawana IQ ya kutosha? Nchi bado inaingia kwenye mzigo mpya kwa sababu ya kukosa msimamizi makini.
 
Unanikumbusha hadith ya lukman punda na mtoto wake. Mie nangojea mzee mtei amkosoe kuwa jk ni mdini ameteua watu wa dini moja.

Shoshi hoja yako haina mashiko kwani uteuzi wa wabunge wa kwanza hujui ulikuwaje au nkutajie?! Je Mzee Mtei alilalamika?! Halafu tofautisha umuhimu wa uteuzi wa wajumbe wa tume na wabunge. Je waweza twambia kazi maalum wanayoenda kufanya wabunge wateule?! Watz wa sasa hawataki chokochoko bali kujenga hoja.
 
......Ndugu yangu soma katiba ya inchi iliyopo uelewe kwa mamlaka aliyopewa rais anateua wabunge 10 kwa taarifa yako bado 4 usiseme kachemka wewe ndo bogas

C lazima azijaze,angeweza tumia utashi kuona wasivo na tija akashitilia mbali uteuzi/ujazaji nafasi hizo hata kama "katiba" inampa power hiyo
 
Unanikumbusha hadith ya lukman punda na mtoto wake. Mie nangojea mzee mtei amkosoe kuwa jk ni mdini ameteua watu wa dini moja.

kaka sio Mzee mtei tu

hata baadhi ya wana JF siwaoni wakipigia kelele hili

kunya anye kuku akinya bata kaharisha
(wana JF tubadirike,tunapenda sana kusikia yanayotufurahisha)
 
Sipati picha Mbatia na Kafulila watakaaje Bungeni,hii pia imedhihirisha wapinzani mamluki
Mbona Lembeli na Maige wanakaa ! Mbona EL na Mwakyembe wanakaa ! Bungeni sio nyumbani kwako na si lazima usemeshane na kila mtu , tunachohitaji ni hoja na namna unavyotetea jimbo lako But Kwa Mbatia Sijui atatetea KAWE !!!!!!!!
 
Unanikumbusha hadith ya lukman punda na mtoto wake. Mie nangojea mzee mtei amkosoe kuwa jk ni mdini ameteua watu wa dini moja.


Umefikiria hata kidogo kuhusu suala hilo au umeandika kwanza halafu kufikiri ni baadae au huwezi kabisa? inawezekana uteuzi wa sasa umezingatia maoni ya mzee mtei, ndo maana amesawazisha.
 
Back
Top Bottom