Recent content by Msondani

  1. Msondani

    Mke wangu mtarajiwa atapatikana humu MMU

    Napenda ifahamike kwamba kwa uzi huu sitanii na wala sina nia ya kujifurahisha bali kueleza haja yangu kwa mwanamke wa maisha yangu ambaye naamini yupo humu. Natambua kuna mwanamke ambaye naye kama ilivyo kwangu anahitaji mtu kwa ajili ya kujenga naye familia hivyo jukwaa hili lipo kama sehemu...
  2. Msondani

    Mbuzi akijumuika kusikiliza mistari...

    We acha tu mkuu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. Msondani

    Mbuzi akijumuika kusikiliza mistari...

    Nmecheka sana.
  4. Msondani

    Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

    Ngoma iko vizuri sana.
  5. Msondani

    Halotel naona mmeanza kuwa jipu!

    Kumbe tupo wengi. Ilinitokea Jumamosi na Jumapili ambapo nilinunua kifurushi cha internet cha siku lakini kikawa kinakatika ndani ya muda mfupi sana. Kila nilipopiga simu huduma kwa wateja na kuchagua kuongea na mtoa huduma simu ilikatika. Jana asubuhi nilipiga tena nilipoasikia "for Swahili...
  6. Msondani

    Je, unawafahamu wagogo?

    Asante sana mkuu.
  7. Msondani

    Majibu ya Walimu kwa Makonda yaanza kudhihirika, awaombe radhi

    Si wazazi wote wanao uwezo wa kuwalipia watoto wao private schools.
  8. Msondani

    Majibu ya Walimu kwa Makonda yaanza kudhihirika, awaombe radhi

    Kwa hoja kama hizi naona dalili mbaya sana kwa matokeo ya mwakani.
  9. Msondani

    Unyenyekevu wa wanaume wanapobembeleza penzi

    Kitendo cha kutembea na mdada na kumwacha si uungwana lakini huwa si vyema kulaumu pasipo kupata maelezo kutoka upande wa pili ili kujua ilikuwaje hadi amkimbie mdada wa watu mara tu baada ya kula tunda. Kuna wadada tangu unamfukuzia hadi uhusiano unapoanza anakuweka katika hali ambayo unaona...
  10. Msondani

    Baada ya kubanwa sana hizi ndizo njia mpya za Usaliti wazifanyayo Wanawake wa Maofisini

    Mke hachungwi. Hata ufanyeje akiamua kukusaliti anakusaliti tu kwa hiyo haina haja kuumiza kichwa sana katika hilo.
  11. Msondani

    Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Wakati mwingine maisha yanakufanya uone fursa zilizopo na ukiweka aibu kando unafanikiwa. Hongera zake.
  12. Msondani

    Sijaenda chuo kikuu japo nilichaguliwa,naomba msaada kwa hili nitakalolisema,,

    Simshauri kufanya hivyo. Niliwahi kufanya hivyo lakini mwaka uliofuata nilipoenda chuoni sikupata mkopo na nilienda sana ofisi za Bodi ya Mkopo kushughulikia hilo suala hata hivyo sikufanikiwa. Baadae ikabidi niombe upya mkopo. Labda aende ofisi za Bodi ya Mkopo wampe uhakika wa nini afanye.
  13. Msondani

    Kiswahili hoyee

    E-mail = barua pepe Website = tovuti
Back
Top Bottom