Recent content by Msolopagaz

  1. M

    JamiiForums Tanzania MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

    Azam One wamenizengua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heartbreaking quotes by three New World Order advocates.

    Hiyo ya Kissinger ndo imenigusa zaidi.Nafkiri kati ya nchi ambazo hazifai mtu ukachukua ajira ya jeshi ni USA ,mana any time you will be in trouble. War,war,war
  3. M

    JamiiForums Tanzania Done Deal: Rwanda yaingia makubaliano ya kujenga uwanja mkubwa zaidi wa ndege nchini kwao

    Kwa wanaojua hayo mambo wanajua kabisa kuwa umeongea pumba.Huna ujuzi NYAMAZA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Kaka mshana hii kitu nshawahi kui activate.Please kaka hii ilmu usiitoe ishia hapo hapo.Nlipata shida mimi.Yan ukimcheki mtu hv waona jana yake...hata kesho na siku zinazofata kwake. Viumbe visivoonekana na viona live(utaniuliza najuaje kwamba havionekani,lkn mda mda huo mtu uko very hyper...
  5. M

    JamiiForums Tanzania The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Dah,kumbe ndo maana....
  6. M

    JamiiForums Tanzania The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Mtoa mada naomba kujua kuhusu reactions zao hasa wakiudhika inakuwaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Election observers in Zambia report media 'biased' in vote

    Ana haki yakusema hivo.Mana kwa sasa UKAWA wanamkumbuka kwa sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete kugombea uenyekiti AU kumeleta upinzani kwa mgombea wa Botswana

    Kikwete kwa nyanja hizo hana mpinzani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti Botswana lalia na Mbeki kuhusu Kikwete

    Kikwete Kikwete mweee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete, Tony Blair rasmi kusuluhisha Mozambique

    Dah,JK Allah akulinde wallah
  11. M

    JamiiForums Tanzania Asante Waziri Prof Mbarawa kwa kutembela kiwanja cha ndege na kujionea changamoto zake na kutatuwa

    Na maslahi ya wafanya kazi wa kawaida vp.Posho iwe at least 500000
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video: Chriss Brown aongea maneno makali kwa polisi baada ya kumuua mtu mweusi

    Hivi uku TZ kuna wazungu?Na sisi tuanze:rolleyes::rolleyes::rolleyes::(
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

    Mleta mada una point ambazo si zakupuuzwa kamwe. Hata ivo muheshimiwa Rais sidhani kwamba Ilikuwa ni vema kwa yeye kusema kinaga ubaga kwamba nimejifunza hiki na hiki... Mambo mengine niyakufanya kimya kimya tuu
Back
Top Bottom