Video: Chriss Brown aongea maneno makali kwa polisi baada ya kumuua mtu mweusi

Mauaji hayo yanatokea Obama akiwa Rais wa nchi/mwenye asili ya Africa sijui akiingia D.Trump mambo yatakuwaje!!
 
Tafuta kitu kinaitwa false flag.

Kisha rejea kuangalia video ya mauaji kama mara kumi hivi.....utaelewa!
Nisaidie maana false flag...nimeona kiingereza kingi sana wikipedi.
Covert operation perfomed by group or nation than.............
 
Ndiyo hivyo hivyo.

Ulisikia askari amepiga kelele "gun".....wanataka kupitisha sheria ya kuwanyang'anya raia wote silaha (gun control law)!

Sasa watafanyaje kuipitisha wakati sheria hiyo ni kandamizi? Njia rahisi ni kutengeneza matukio kama haya ili ionekane kwamba silaha kwa raia ni jambo la hatari sana!
Ahaa Ok!. Thanks
 
Back
Top Bottom