The HSPs (Highly Sensitive Persons)

The HSPs (Highly Sensitive Persons)

Kingine jamani siziwezi kurupushani, mara sijui kwenda kariakoo kukurupua nini, naweza kusema naenda kariakoo nikifika natafuta sehemu nakunywa zangu juice narudi nyumbani, au sijui daladala jamani naweza jikuta sina hela lakini nachukua tax hata elfu 40 ili mradi tu niwe nimerelax, kwanza nikienda kwenye mziki au bar yani nahisi nachanganyikiwa na ile miziki, kwanza maeneo kama hayo labda niwe na mpenzi wangu tena awe ni mtu anayejielewa (napenda mtu ambae amenizidi sana xoz i feel more secured) ambae tunaweza kuongea mambo ya msingi sio yule anaamka na bia mkononi anaenda kwa stage kucheza, maana naweza kupata hasira nikupige hata kwenzi, kingine jamani nikimpenda mtu naweza hata kufa maana siwezi kucheat siwezi kufanya nini, yani napenda from head to toe, nazama mzima mzima, halafu sasa nakuwa nauwezo wa kugundua kama huyu mtu labda leo hayupo katika mazingira mazuri au anacheat na nikipiga simu tu nagundua au kuna maswali ambayo naweza kumuuliza anajiuma uma baadae anajikuta amesema tu ukweli, kingine ninakuwa na hasira za haraka lakini zinawahi kuisha, mfano hata ni mdogo wangu kaniudhi naweza hata nikampiga hapo hapo halafu nikisharudi kukaa mwenyewe nikirewind najikuta namuomba msamaha, kingine sipendi kabisa kukaa na hasira/ kitu chochote moyoni yani siwezi mpaka ni-solve siku nyingine mpaka nashindwa kwenda kazini najikuta naomba ruhusa kama naumwa maana siwezi kufanya chochote mpaka sura inabadilika, mpaka nitafute suluhu kwanza, halafu kuna watu wanakwambia eti ukiwa na stress uende unywe pombe, for sure i cant, mimi nikiwa na stress naweza kujifungia ndani hata siku mbili sitaki kelele yetote, naweza jikuta the whole week sijawasha tv na redio mpaka kifurushi cha dstv kilishaisha wala sikujua, in short thats how I am
Jipende ulivyo, wala usione kuwa ni tatizo maana wengi hawawezi kukuelewa, jielewe mwenyewe.

Uko sahihi kabisa, HSPs na pombe ni tofauti kabisa, kulewa kwao ni kero.

Vipi kwenye mahusiano?
 
Jipende ulivyo, wala usione kuwa ni tatizo maana wengi hawawezi kukuelewa, jielewe mwenyewe.

Uko sahihi kabisa, HSPs na pombe ni tofauti kabisa, kulewa kwao ni kero.

Vipi kwenye mahusiano?
Kwenye mahusiano jamani nikipenda mtu napenda kweli, nazama mzima mzima, napenda mwanaume awe amenizidi umri, muda wote nataka niwe karibu na mpenzi wangu, hata kama akiwa mbali mawasiliano yawe ya karibu, kiufupi nikicheat ujue maji yamenifika shingoni maana naonaga kama siutendei haki moyo wangu. Kiufupi mpenzi wangu ndio rafiki yangu ambae atleast we can joke na mambo mengine, napenda mtu anielewe aelewe nini napenda na nini sipendi hapo tutakuwa na furaha muda wote
 
Yup unatamani kuwa kwenye relationship lakini ukitazama around unaona hakuna mtu unaweza kuconnect naye.

FYI HSPs huwa wanakuwa na mahusiano machache sana ktk maisha yao ukilinganisha na watu wengine.
Nina hilo tatizo
Relationship ni kitu complex sana kwangu,nna feelings kali sana na huwa napenda kweli ninapokuwa kwenye mahusiano huwa naumia kwa vitu vidogo sana,huwa nna fights nying kwenye mahusiano mana nataka mpenz wangu awe vile nnavyotaka mim
Kitu chengine,Sipendi kuumiza mwengine unaweza kuta mtu anaonesha kabisa nia ya kuwa na mim lakin namuonea huruma sana kwa kuhisi ntakuja kumuumiza baadae japo my friends huwa wananiona kama mjinga flani napata mtelezo lakini siutumii
 
Kwenye mahusiano jamani nikipenda mtu napenda kweli, nazama mzima mzima, napenda mwanaume awe amenizidi umri, muda wote nataka niwe karibu na mpenzi wangu, hata kama akiwa mbali mawasiliano yawe ya karibu, kiufupi nikicheat ujue maji yamenifika shingoni maana naonaga kama siutendei haki moyo wangu. Kiufupi mpenzi wangu ndio rafiki yangu ambae atleast we can joke na mambo mengine, napenda mtu anielewe aelewe nini napenda na nini sipendi hapo tutakuwa na furaha muda wote
Ni zaidi ya kupenda, kunakuwa na connection (bond) na huyo mtu ya mwili, nafsi na roho.
 
Nina hilo tatizo
Relationship ni kitu complex sana kwangu,nna feelings kali sana na huwa napenda kweli ninapokuwa kwenye mahusiano huwa naumia kwa vitu vidogo sana,huwa nna fights nying kwenye mahusiano mana nataka mpenz wangu awe vile nnavyotaka mim
Kitu chengine,Sipendi kuumiza mwengine unaweza kuta mtu anaonesha kabisa nia ya kuwa na mim lakin namuonea huruma sana kwa kuhisi ntakuja kumuumiza baadae japo my friends huwa wananiona kama mjinga flani napata mtelezo lakini siutumii
Yani nakuelewa kabisa. Mahusiano kwetu ni changamoto.
 
Good to know.

Watu wengi hawatuelewi na wanatuweka ktk kundi la watu wanaojidai, hawajui kwamba we simply find it difficult to connect with people.

Tunafurahia maisha tukiwa peke yetu kuliko kuwa na kampani ya watu.
Ukishajitambua, ukajikubali hupati tabu.
Ni kweli kabisa ata kwangu wengi husema ivo, lakini ndo maisha halisi ninayo yapenda.
 
I not sure if i'm among them, but i share some traits with HSP.
I don't like animals at all but i keep because i sell them to get money. I'm connected to nature, hills, rivers, beaches.
I watch movies but not horror or knifey ones. I like spying movies or those with happy endings.
I'm an introvet person, i think its not important talking with people i don't know. I make noises through social media but in person, seldom i talk.
I have very few friends, my friend's cicle is too tight. I don't add new ones.
I barely trust no one even my friends. I don't have the so called close friends.
I'm planning to buy my own island to only stay with my family. I don't like noises or city vibes.
I saw myself after reading this! Never thought two different people could be very much alike
 
Je hupendi mtu ajisikie vibaya kwa sababu yako? Hupendi kuudhi watu?

Je unakuwa na wasiwasi wa kufanya maamuzi ambayo si sahihi?

Huwa nina hizi tabia. Sikujua kama ni tabia za HSP

Ni juzi tu nilikuwa najitafakari kuwa nifanyeje kuhusu tabia yangu. Yaani hata vikundi vingi najitoa nikiona watu wanakwazana au siyo waelewa. Nikiona watu wanagombana najisikia vibaya kiasi kwamba natamani kuwa mbali nao. Sipendi mtu aninyanyase na mimi simnyanyasi mtu.

I live my life. Na siyo kwamba nina vitu...mali...oh no...nilichonacho ndo ninachofurahia. Huwa sishindani na mtu...hata ununue au ufanye nini...moyo wangu haufadhaiki eti kwa kuwa sina. I enjoy being me...living my life.

Am I HSP?
 
Nina hilo tatizo
Relationship ni kitu complex sana kwangu,nna feelings kali sana na huwa napenda kweli ninapokuwa kwenye mahusiano huwa naumia kwa vitu vidogo sana,huwa nna fights nying kwenye mahusiano mana nataka mpenz wangu awe vile nnavyotaka mim
Kitu chengine,Sipendi kuumiza mwengine unaweza kuta mtu anaonesha kabisa nia ya kuwa na mim lakin namuonea huruma sana kwa kuhisi ntakuja kumuumiza baadae japo my friends huwa wananiona kama mjinga flani napata mtelezo lakini siutumii
I understand the situation
 
Nahisi hizo traits kama ninazo hivi .......

Yaani huwa perfect nikipresent kitu mbele ya hadhara lakini when it comes to my personal life....
Sipendi kuingiliana sana na watu wengi yaani napenda kukaa peke yangu maana nikiongea na watu huwa naona kama ninapoteza muda kwa kuwa huwa nawaona kama watu wasioniongezea chochote katika maisha yangu ... ...

Alafu hiki kitu ninacho Mimi tu katika familia nzima na ilinipa shida katika makuzi yangu....

Nikikutana na watu wa aina yangu huwa ni rahisi kuwa marafiki kuliko watu wa kawaida ......
 
Huwa nina hizi tabia. Sikujua kama ni tabia za HSP

Ni juzi tu nilikuwa najitafakari kuwa nifanyeje kuhusu tabia yangu. Yaani hata vikundi vingi najitoa nikiona watu wanakwazana au siyo waelewa. Nikiona watu wanagombana najisikia vibaya kiasi kwamba natamani kuwa mbali nao. Sipendi mtu aninyanyase na mimi simnyanyasi mtu.

I live my life. Na siyo kwamba nina vitu...mali...oh no...nilichonacho ndo ninachofurahia. Huwa sishindani na mtu...hata ununue au ufanye nini...moyo wangu haufadhaiki eti kwa kuwa sina. I enjoy being me...living my life.

Am I HSP?
Kwa kweli siwezi kusema moja kwa moja kuwa wewe ni HSP au la. Cha muhimu fanya utafiti kuhusu tabia za HSPs (zipo nyingi) then utajipima uone kama upo kwenye hilo kundi ama la.

Kuna issues nyingi za hawa wangu, nyingine sijazigusia kabisa.
 
HSPs connect with nature coz they feel that nature is understanding, humble than most people are.

Personally, I find most people rude and not considerate of others.
But when I turn to animals, birds, hills, the sky, the waters, music...oh my God, they are unbelievably pure, innocent and fulfilling.

So, how do u cope with this social world

It used to be very difficult and costed me my first crush! But then I learned to ballance 'my world' with 'our world'! Not easy but there's no way out If 'you want to live' .......!
 
Back
Top Bottom