Recent content by msn love

  1. msn love

    JamiiForums Tanzania Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

    Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
  2. msn love

    JamiiForums Tanzania Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

    Unapajua buyagu boss?
  3. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na simu (Unknown number)

    Hata mimi inanisumbua sana hadi kero
  4. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa my everything wa ali kiba nikiupata itapendeza sana. Nahitaji msaada wenu wadau.
  5. msn love

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Ni story ndefu lakini usiombe kuvamiwa maana mungu tu ndio atakunusuru. 2017 walinivamia na kufanikiwa kuiba simu smartphone 4, kiasi cha fedha na kumjeruhi kijana mmoja nilikuwa naishi nae, ila walichokipata nao hawatosahau maisha yao huko walipo. Ila tukio hili lilinipa somo kubwa sana...
  6. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Nmekula zaidi ya madem 400 kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa ukitoa wale wa kuanzia 2016 kurudi nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

    Kimbisa, Kama upo serious huta kuja kumuacha na una malengo nae tatizo hilo dogo sana njoo pm nikupatie muongozo tatizo lako limeisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. msn love

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Wapendwa naomba msaada wa tafsiri ya utofauti wa sheria hizi mbili za hukumu 1:kunyongwa 2;kunyongwa hadi kufa.
  9. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada:nakosa hisia za mapenzi wa mpenzi wangu.

    Mwanzo nilikuwa nampenda sana na hata sasa lengo ni kumuoa tatzo kwa sasa hisia za mapenzi kwake hazipo tena
  10. msn love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada:nakosa hisia za mapenzi wa mpenzi wangu.

    Habari
  11. msn love

    JamiiForums Tanzania Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

    Nimecheka sana
  12. msn love

    JamiiForums Tanzania Hata kama kimbunga hakijatokea hatupaswi kuwabeza watabiri

    Kumbuka msumbiji kimeshafika
  13. msn love

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mmmh
Back
Top Bottom