Recent content by Msifuni Ally

  1. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi mwanamke mzuri wa kuoa kati ya hawa watatu?

    Hakuna jibu
  2. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Zaidi ya Bilion 80 zimelipwa kwa sababu ya ujuaji , kutotaka Ushauri, ambazo zingefanya maendeleo makubwa. Yani tunatwangwa maji kwenye kinu
  3. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Kati ya mwanaume na mwanamke, yupi mchepukaji zaidi?

    Ha!
  4. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Jenifana, Jenustela Jasmini Jackline Jastinine Jakaya Julius Juma Jane n.k
  5. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

    Kwan hukujua hilo?
  6. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

    Hii mdada naona madada wa humu wamenyamaza, si tu wanapenda maisha mazuri pia wanajiamini kupita kiasi wanakuwa na dharau na baadhi yao hawapendi unyenyekevu
  7. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top ten ya Mikoa yenye wanaume wa shoka

    Kilimanjaro ni uongo
  8. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Jamaa yangu kwanza jinsi ulivyojieleza nimepata picha kuwa UNAUMIA SANA, pole. Na ninajua unaumia si kakuacha zaidi ni kuwa ulimnyanyua alipo na wa Kwao pia, ila ulichosema ni wengi yamewakuta tena si kwa kusikia Bali kuambiwa nao kabisa, ungenijibia maswali ambayo ningekuuliza ningekuwa majibu...
  9. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Ndemla kupewa gari na kiongozi kutaivuruga timu

    Simba mna mbwembwe
  10. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Botswana waichana live USA

    Afrika tunatatizo moyo nalo ni kujihisi wanyonge hatufai na kuwaona wazungu wako juu, kwani kila jambo likitamkwa tunaona tumebaguliwa, kwani sisi hatuwezi kutamka jambo lolote kwao. Tubadilike
  11. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

    Yapo marobota yenye vifaa hivyo
  12. Msifuni Ally

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Ngoja niwaambie msidanganyike eti hafurahishwi ni uongo kwa sababu zifuatazo. 1° Angekuwa hafurahishwi angetamka mwenyewe kwa kinywa chake mbele ya hadhara ama vyombo vya habari 2°Mbona walimhoji akiwa waziri kuwa je utagombea uraisi akakana kabisa ila mwishoni akagombea. Ivo msiyaamini maneno...
  13. Msifuni Ally

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Bora wewe
Back
Top Bottom