Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

ni kweli nashukuru Mungu aliniongoza kufanya maamuzi sahihi kwa sasa nna amani tele moyoni ingawa bado sija pata mke
Hujapata mke hadi sasa 2 yrs, au umeshasusa tu, nitakuombea mwaka huu hautapita utaoa
 
Maskini..pole sana brother,we achana nae. Ataishia kuchezewa tu atabwagwa na kama aliachwa mama ake ndogo yeye ndio atadumu!!?
Muache,waelezee wazazi wako,watakuelewa. Huwezi jua Mungu anakuepusha na nini.
Atarudi mwenyewe akikulilia baada ya kuchezewa sana na kuachwa.
 
hahaha..daah ase mke wangu akipata ujasiri wa kunijibu hivyo, lazma ataokotwa ufukweni

kwanza anapata wapi uo ujasiri..maishayangu yoote ya ndoa,mke wangu akinipandishia basi kwenye simu anajua siwezi mdaka chap...na anajua hasira zangu za mpito..
 
huyo siyo saizi yako tena. Mshukuru Mungu hamjafunga na hujalipa mahari. Angalia tun ustaarbu mwingine. Angalizo: usirudie kugharimia mtu ambaye siyo wa kwako.
 
hao walianza hiyo michezo kitambo sana kabla hajavunja uongo
 
Huu uzi ni wa mwaka juz, Msipende kufukua makaburi, mna uhakika kama mleta mada bado yupo? Au mnataka mumtoneshe kidonda?
 
Yesu ndo rafik wa kweli hatokuacha kamwe na atakufunulia sana mwanamke sio ndugu yako kabisa
 
Hujapata mke hadi sasa 2 yrs, au umeshasusa tu, nitakuombea mwaka huu hautapita utaoa
No, ninge fanya haraka ingeni gharim nadhani mwaka huu nitakiwa kufanya maamuzi sahihi
 
hahaha..daah ase mke wangu akipata ujasiri wa kunijibu hivyo, lazma ataokotwa ufukweni

kwanza anapata wapi uo ujasiri..maishayangu yoote ya ndoa,mke wangu akinipandishia basi kwenye simu anajua siwezi mdaka chap...na anajua hasira zangu za mpito..
Mkuu usiombe yakufike ya aina hii
 
mkeo anakwambia kuwa humfikishi wew unapinga..wakati wewe wamla papuchi usikute wenzie wanamla KABANG so usimbishie..

then nichukue wasaa huu kukupa pole tu mkuu " hao ndio wanawake bhanaa...kwani bado upo nae mkuu ..!??

ukiendelea kuishi na mwanamke wanamna hiyo ambaye hana miko...bhasi IPO siku atampa uchi ndugu yako wadamu ama rafiki
 
  • Thanks
Reactions: amu
Niongeze kitu hapo mimi nime lelewa na mama wa kambo baada ya mama yangu kufariki, maisha nliyo yapitia sikupenda mwanangu aishi tena nliteseka Sana
Pole sana mkuu, Kaa mbali na mkeo kwa muda bila ya kuwasiliana naye. Jiweke busy na kazi. Usiache maombi
 
Jamaa yangu kwanza jinsi ulivyojieleza nimepata picha kuwa UNAUMIA SANA, pole. Na ninajua unaumia si kakuacha zaidi ni kuwa ulimnyanyua alipo na wa Kwao pia, ila ulichosema ni wengi yamewakuta tena si kwa kusikia Bali kuambiwa nao kabisa, ungenijibia maswali ambayo ningekuuliza ningekuwa majibu zaidi, sasa fanya haya: 1, Muache kabisa wala usimsumbue kwenye cm kuwa ulimsaidia mengi. 2, Tafuta mambo yanayoweza kukufanya uanze kupunguza mawazo ila usitumie pombe kabisa ama kwenda kutafuta wanawake kwa sasa. 3, Lazima uwajulishe wazazi maamuzi yako na inabidi uanze vema ili nao wasihuzunike zaidi( yan wazaz wako). Tumia njian tatu hizo kwa kuwa sijakuuliza maswali yangu .
 
Kalipe mahari hakafu usikilizie, ila achana nae, atakuua kwa presha na magonjwa
 
Karibu miaka miwili sasa inaisha, tupe mrejesho ni nini uliamua au mpaka sasa unaendelea kupokea ushauri?
 
Pole, ni part ya life yako nw. Ni ww utakayeamua nn ufanye. That's satanic work tu, just relax tu kama wiki hivi. Fanya kama hujaumizwa na matusi yake, omba kwa ajil yake. Send her gud SMSs every night.
Tafuta sehemu nzuri tulivu, ili kupumzika kutokana na stress ulizonazo nw. I'm sure baada ya muda atajutia makosa yake, be ready kumusamehe..

Hilo kosa la kutembea na baba hata wa kambo wanasheria wanaita incest by man/male kitu kama hicho. Ngoja petro mselewa aje afafanue zaidi.
 
Back
Top Bottom