Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.

Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono imefichwa kwa utefu wa mshati ni hayo tu

Je huwa wanajishonea?
Inaonekana kazi yako ni umbea na hiyo ndyo asili ya mashabiki wa united
 
Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.

Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......

Igoloo.
Kasie kwa tabasamu..Aisee nami msukumaji hivyo hivyo
 
Hivi dar ndio wapi ?
Maana mlioko ndani ni kama mpo marekanii.
Tulishasomaga huko hakuna dili kawaida tena viepeee sana. Mikoani tuko juu usafi na pia hali ya hewa chakula na kila kitu simkijaga hamrudi .
Eti saivi mnasema wenzenu
 
Inaonekana kazi yako ni umbea na hiyo ndyo asili ya mashabiki wa united
Mdogo vumilia tu manchester city ndo kwanza anatukombe tu 3 had kufikisha 20 sio leo punguza msongo wa mawazo utaanza kuwa kichaa
 
Chukueni ubingwa sasa
Ubingwa wa uingereza unatolewa mwez huu? Halafu najizalilisha kujadiliana na mtua asejua mpira kichwan kabeba visingizio

Hiyo manchester city kabla ya 2011 walikuwa na uwezo wa kupambana na chelsea,arsenal,liverpool na manchester united?

Timu ya 2010 na ww unalilia kabebe uefa uone kama kazi nyepes
 
Watu wa dar ni malimbukeni waliotukukuka,nimekaa dar 10 solid years sioni cha maana cha kujigamba humu!njoo mwanza tule SATO
 
Ubingwa wa uingereza unatolewa mwez huu? Halafu najizalilisha kujadiliana na mtua asejua mpira kichwan kabeba visingizio

Hiyo manchester city kabla ya 2011 walikuwa na uwezo wa kupambana na chelsea,arsenal,liverpool na manchester united?

Timu ya 2010 na ww unalilia kabebe uefa uone kama kazi nyepes
United imejaza mashabiki vilaza kama wewe
 
United imejaza mashabiki vilaza kama wewe

Nimemaliza mdogo wangu sasa wewe na pep nani anajua

Pep Guardiola Claims Man City Must Win More Trophies to 'Become as Big as Man Utd or Liverpool'
 
Nimemaliza mdogo wangu sasa wewe na pep nani anajua

Pep Guardiola Claims Man City Must Win More Trophies to 'Become as Big as Man Utd or Liverpool'
Sikai kuwa united sio club kubwa ni kubwa lakni sahivi ubora wa city united anaonekana Swansea ndyo maana alitandikwa OT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom