Recent content by Mshiiri

 1. Mshiiri

  Ukweli juu ya sperm nyepesi

  Frequency ya kufanya mapenzi hupunguza viscocity ya shahawa. Hivyo ukiona nyepesi ujue alishabutua mahali maranyingi muda mfupi tu umepita
 2. Mshiiri

  Kipi husababisha mume/mke kutoka nje ya ndoa yake?

  Maisha ni zaidi ya sex. Furaha ya maisha pia ni zaidi ya sex. Sex lasts for say 1hr BUT the rest of 23 hrs ndiyo inajumuisha furaha ya maisha dhahiri. Mahusiano mazuri nje ya sex ni furaha kubwa sana zaidi ya sex yenyewe. Sasa hizi porn na kujihemusha ndizo huchetua fikra tawala za ngono na kuwa...
 3. Mshiiri

  Je, mpira ukirushwa ukaingia golini moja kwa moja ni goli?

  Mpira wa kurushwa in fact ukishaanza kuja haujalishi origin kwenye consequences zitakazotoea kuamua impact. Hili inakuwa goli na mfungaji ni aliyerusha. Mpira wa kurushwa ni halali kwa mantiki yake. Ikiwa hivi kuwa tujali na kuheshimu taratibu za mpira basi mpira wa kichwa golini usingekuwa goli...
 4. Mshiiri

  Corona: Uchumi wa Rwanda taabani kufuatia " lockdown".

  Africa chumi zake zote ni kaanga tule, hamna reserve ya kuwalisha hata wananchi wake milo mitatu kamili kwa siku moja... angalia sana... wao ni viongozi wao kuishi kama malaika pekee na hivi kusema viongozi wa waafrica kote barani ni wakoloni wa wananchi wao. Hamna watumishi wengi wa dhati...
 5. Mshiiri

  PhD inalipa? Iweje wafanye u-MC wa kitchen party?

  PhD = Permanent Head Damage
 6. Mshiiri

  Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

  Jibu murua kabisa mkuu! Afrika hatuna bado viongozi safi wenye ari. Alikuwepo mmoja tu naye ni Qaddafi lakini kwa tabia zetu za u-cain tulimmaliza. Sasa hapa pengine mpaka mwisho wa dahari au tupate magufuli kama 200 hivi ndiyo tufidie miaka 60 tuliyopoteza takriban baada ya uhuru. Ili tuendelee...
 7. Mshiiri

  CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

  Huyu kirusi ni mjeuri sana. Pengine anapima kwanza jamii anaingia na kutoka kisha kurudi na nguvu mpya. Tuzingatie tahadhari sana jamani
 8. Mshiiri

  Hivi ndivyo jinsi majirani zetu wanavyotuongelea kuhusu Corona

  The higher the risk the higher the reward - always
 9. Mshiiri

  Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

  Kwa biashara ilivyo sasa duniani 70-75% ya products ni China origin, by design, under license, manufacturing, copying, replicating, duplicating, you name it. Huwezi kwepa China kwa sasa labda matango, migebuka na mchele wa mbeya
 10. Mshiiri

  Updates za Corona Tanzania

  Hii ndiyo mfano wa deficity and insufficience ya sheria tunazotunga zinakuwa rules and siyo sheria. Sheria lazima iwe ama iangalie exceptions. Magonjwa ya milipuko siyo magonjwa ya kufedhehesha wala kubeza na hivyo kutangaza ilipasa kwa kuwa inaweza kuponya kuanzia familia yake, jiarani yake...
 11. Mshiiri

  Ilikuwa ni makosa makubwa kuiruhusu CHADEMA ikue kwa asilimia walau 20% ,tunakuomba Katibu Mkuu Dr. Bashiru haya makosa yasijirudie tena

  Mkuu wewe ama IQ yako ndogo sana au hujui siasa na wala hukujifunza siasa kwa mifano, au pengine ni papet na kutazamia cheap popularity. Ikiwa itakuchukua miaka 60 na zaidi karibu ya umri wa rais wetu wa sasa tangu amezaliwa hadi leo ndiyo unafanya hayo yote huoni aibu kujinadi? Ni sawa na...
 12. Mshiiri

  Kenya ina maabara 2 tu za kupima Corona, vitanda 160 vya ICU, Kaunti 22 hazina ICU kabisa

  Afrika inafanana wala usijali... Afrika ilipaswa kuwa nchi moja tu kama ilivyo China au India sub-continent. Akili za viongozi wao, priority za maendeleo, life style etc.
 13. Mshiiri

  Kama hali ya corona Africa ni hii na Tanzania tuna wagonjwa 20 basi ni kweli tinaishi Eden

  Ingawaje huu ugonjwa kwa watanzania na waafrika wengi ni gene controlled plus other factors such as immunity vs vaccination ambazo kwa frequency ya kupata contact na visababishi vya magonjwa ni kila siku ...like .. kila siku mathalani unaingiliwa na visababishi vya magonjwa zaidi ya tano kwa...
Top Bottom