Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

Kwa biashara ilivyo sasa duniani 70-75% ya products ni China origin, by design, under license, manufacturing, copying, replicating, duplicating, you name it. Huwezi kwepa China kwa sasa labda matango, migebuka na mchele wa mbeya
 
Kwani kwa sasa hivi wanaleta mizigo na korona hiii
Sellers wa AliExpress ukiongea nao wanasema sasa hivi hakuna shida na wanaendelea kuship order za watu kama kawaida sasa sijui kama vyombo vinavyosafirisha mizigo vyenyewe havizuiwi au vipi. Au mzigo ukifika wanapigwa kwanza karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mizigo migogo midogo inasafiri kwa ndege za abiria.
Sasa haziingii na kutumia ndege za mizigo gharama na kubwa sana
Kwenye meli sijuu
 
Hizi mizigo migogo midogo inasafiri kwa ndege za abiria.
Sasa haziingii na kutumia ndege za mizigo gharama na kubwa sana
Kwenye meli sijuu
Basi kama wanasafirisha kwa ndege za abiria, ina maana mizigo midogo sasa itatumwa kwa ndege za mizigo maana sasa hivi abiria hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sellers wa AliExpress ukiongea nao wanasema sasa hivi hakuna shida na wanaendelea kuship order za watu kama kawaida sasa sijui kama vyombo vinavyosafirisha mizigo vyenyewe havizuiwi au vipi. Au mzigo ukifika wanapigwa kwanza karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna bidhaa niliagiza kikuu.ndo nina wasiwasi kama zitafika. Leo siku ya 10 kila nikitrack bado mzigo upo china
 
Bado kumbe uagizaji vitu china ni shida siyo kama awali. Delay ni kubwa sana sababu ya Covid-19.
IMG_20200502_142012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari hv unaweza agiza bidhaa aliexp ukaja kuuza tz na kupata faida.
 
Nahisi sasa karibu nitapokea mzigo wangu, nasubiria tu kupigiwa simu, ila shipping kipindi hiki cha Covid-19 imekuwa ndefu sana sijui walitumia meli kusafirisha mizigo au nini.
IMG_20200704_204548.jpg
IMG_20200704_204710.jpg
 
Back
Top Bottom