PhD inalipa? Iweje wafanye u-MC wa kitchen party?

PhD inalipa? Iweje wafanye u-MC wa kitchen party?

Ukwel n kwamba jamii unayoisema haikupi heshima kama hauna pesa. Hata kama utatatua changamoto zake lakin kama huwez kubadilisha changamoto zikupe pesa utadharaulika hata na wale wasio soma.

Mm ninamfaham moja wapo ya Lecture wang pale DUCE n MC mzur tuu na inavyoonekana anahost event za pesa kubwa kubwa sio hiz za uswahilin.

So kama mtu kaona PHD yake apeleke kweny u MC muache atafute tonge la familia yake.
Mkuu ungemtaja tu mbona yeye huwa haogopi kusema kazi yake..aliwahi sema alionana na waziri wa elimu si kwasababu ni lecture bali mc. Kwenye kujitambulisha ndo waziri anajua the guy is also lecturer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nigeria watu wana PH.d na ni madereva wa ma-lorry ya dangote na maisha yanaendelea fresh tu.

Usidanganyike na hii habari kwa sababu Nigerians wengi ni watu fake na wananunua degrees online kama enzi zile za Kikwete kwa mawaziri wetu kununua degrees. Utakuta Mnigeria ana degree 6 lakini hajuwi chochote, haya ndiyo madhara ya kuwa na degree za kununua mwishowe unaishia kuendesha magari ya Dangote au Bajaji mjini Lagos.
 
Ukiona kazi anafanya mchagga ujue inalipa sana.Wewe kufa na Phd yako mbuzi usichanhamkie besa mtaani.Go my brother MC .Hakuna kazi ndogo wala kubwa duniani.Kuna mwl mmoja alikuwa anafundisha makongo sec alikuwa anaitwa kama sikosei Mr Mbowe akawa nafanya uMC achagui kazi anakusanya fweza sasa hivi anamtaa wake hapo mbezi beach.Kuanzia ukumbi wa kiramuu,shule ya sekkndari nk mtaa karibu mzima kuanzia hapa barabara ya morogoro mpaka karibu na njia ya kuelekea Goba ni vitega uchumi vyake.Sasa kaa hapo na vipepa vyako vya PHD huna hata hela ya kulipa bili unasubiri utukanywe na Jiwe mbele za watu na mshahara wa milion 2m.
Acha kulinganisha PhD na vitu vya kishamba wewe.. PhD ni habari nyingine.. kama huna utajiju.. ni zaidi ya pesa..
 
Nigeria watu wana PH.d na ni madereva wa ma-lorry ya dangote na maisha yanaendelea fresh tu.

Labda kama amesomea PhD ya kuendesha malori.. Kama sivyo basi ni upotevu mkubwa wa rasilimali.
Bara letu bado lina matatizo mengi yanayohitaji kutatuliwa na wasomi wetu (kuwa dereva wa lori siyo mojawapo ya matatizo yanayotukabili).

Tatizo siyo PhD holder, tatizo ni mfumo wetu.
 
Acha kulinganisha PhD na vitu vya kishamba wewe.. PhD ni habari nyingine.. kama huna utajiju.. ni zaidi ya pesa..
Haaa COVID 19 itakuwa imekuingia kichwani wewe.Kila mtu anasoma apate pesa wewe na Maisha poa tu hapa duniani.Asikwambie mtu.Hatuwezi kuwa na PHD wote ila tunaweza kuishi hapa duniani kwa kutegemeana wote.
 
Ukiona kazi anafanya mchagga ujue inalipa sana.Wewe kufa na Phd yako mbuzi usichanhamkie besa mtaani.Go my brother MC .Hakuna kazi ndogo wala kubwa duniani.Kuna mwl mmoja alikuwa anafundisha makongo sec alikuwa anaitwa kama sikosei Mr Mbowe akawa nafanya uMC achagui kazi anakusanya fweza sasa hivi anamtaa wake hapo mbezi beach.Kuanzia ukumbi wa kiramuu,shule ya sekkndari nk mtaa karibu mzima kuanzia hapa barabara ya morogoro mpaka karibu na njia ya kuelekea Goba ni vitega uchumi vyake.Sasa kaa hapo na vipepa vyako vya PHD huna hata hela ya kulipa bili unasubiri utukanywe na Jiwe mbele za watu na mshahara wa milion 2m.
Mxaga ninani?maboya tu axa ukabila mjinga wewe waxaga washamba tu lbda mbege na viduka uswaz ndo wanajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel n kwamba jamii unayoisema haikupi heshima kama hauna pesa. Hata kama utatatua changamoto zake lakin kama huwez kubadilisha changamoto zikupe pesa utadharaulika hata na wale wasio soma.

Mm ninamfaham moja wapo ya Lecture wang pale DUCE n MC mzur tuu na inavyoonekana anahost event za pesa kubwa kubwa sio hiz za uswahilin.

So kama mtu kaona PHD yake apeleke kweny u MC muache atafute tonge la familia yake.
Utakuwa unamaanisha MC Ndimbo
 
PhD inapaswa kugundua vitu adimu duniani si kuchezesha watu kwaito
Hii ni dhana yako tu,si kila mtu anaweza kuwa MC ,nadhani ni kipaji na kutumia kipaji kupiga pesa kihalali si kosa uwe ni PhD,au ni Prof.Si kila PhD holder ni mgunduzi.Wenye PhD wenyewe wengi wapo very Simple Hawani majigambo saaana.Nadhani pia wanaonesha njia namna ya kutumia fursa na kujiajiri.

Kuna wachezaji wengi ulaya elimu zao zinatosha sana kujishaua, lakini wapo very simple chini ya kocha asiye na elimu kama wao.Dhana hizi ndizo zinawafanya vijana wengi wenye degree kushindwa kufanya kazi za kutumia nguvu kwasababu wanadhani wana umaalumu fulani kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom