CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

Virus wanabadilika kulingana na mazingira walipo.Waulize hao wazungu unaowaamini wakwambie.Ndio tatizo letu waafrika,huwezi kujiongeza kwa elimu uliyonayo na unasimu kutukana lkn hutafutii maafrifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka, katika sayansi hakuna neno kujiongeza, kila kitu lazima ukifanyie utafiti kwa kutumia kanuni za kisayansi kabla ya kukitoa kwa ajili ya matumizi.

Je wewe umefanya tafiti, au umesoma utafiti wowote, au umeamua kujiongeza?, tafiti za kisayansi zinafanywa na yeyote yule, wacha kuwataja wazungu.

Soma juu hapo au nikuongezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do viruses survive in cold or hot weather?

There's a seasonality to many viruses. Flu and cold viruses tend to peak in winter months, then die down with warmer weath

Wazungu hao labda utawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali tuwekee link ili tujisomee wenyewe, hata virusi vya UKIMWI pia vinaathirika na hali ya joto, unaona jinsi vilivyoichachafya Africa?, virusi vyote duniani havihimili joto, lakini Ebola, Ukimwi, Dengue, vimekita makazi yake Africa.

Ila kama una ushahidi kwa haya unayosema, Tafadhali weka link ili tujisomee na sisi tupate kujifunza kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninazozifahamu hadi sasa
- National Influenza Center
- Kenya Medical Research Institute (Kemri)
- Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) kule Eldoret
- Tawi la Kemri Kisumu pia
- Na sasa Mombasa pia wamewezeshwa.

Kwa kifupi zimezagaa mikoa yote, hatutegemei sehemu moja.
Kwa iyo mna maabara tano za kupimia corona.
But somebody said you have one or two i guess, from your ministry. I even read a thread here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo mna maabara tano za kupimia corona.
But somebody said you have one or two i guess, from your ministry. I even read a thread here.

Sent using Jamii Forums mobile app

Zilianza mbili ila zikaongezwa kadiri muda ulivyokwenda, na bado wanatazamia kuongeza zaidi ikiwemo kufanya random tests hata kwa watu wasiokua na tatizo.
 
Zilianza mbili ila zikaongezwa kadiri muda ulivyokwenda, na bado wanatazamia kuongeza zaidi ikiwemo kufanya random tests hata kwa watu wasiokua na tatizo.
Weka ushahidi kwamba zipo zaidi ya mbili, huyo Gavana amezungumza juzi, Leo ni siku ya 3, inamaana hizo zilizoongezwa zimeongezeka Jana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kirusi ni mjeuri sana. Pengine anapima kwanza jamii anaingia na kutoka kisha kurudi na nguvu mpya. Tuzingatie tahadhari sana jamani
 
Zilianza mbili ila zikaongezwa kadiri muda ulivyokwenda, na bado wanatazamia kuongeza zaidi ikiwemo kufanya random tests hata kwa watu wasiokua na tatizo.
Sikuamini, jana nimemsikia waziri wenu na koinange sijui, akisema hivyo, zimeongezwa lini wakati jana ndio mmeanikwa hamna maabara zote hizo buda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali tuwekee link ili tujisomee wenyewe, hata virusi vya UKIMWI pia vinaathirika na hali ya joto, unaona jinsi vilivyoichachafya Africa?, virusi vyote duniani havihimili joto, lakini Ebola, Ukimwi, Dengue, vimekita makazi yake Africa.

Ila kama una ushahidi kwa haya unayosema, Tafadhali weka link ili tujisomee na sisi tupate kujifunza kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Coronaviruses are a group of related virusesthat cause diseases in mammals and birds. In humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can be mild, such as some cases of the common cold (among other possible causes, predominantly rhinoviruses), and others that can be lethal, such as SARS, MERS, and COVID-19. Symptoms in other species vary: in chickens, they cause an upper respiratory tract disease, while in cows and pigs they cause diarrhea. There are yet to be vaccines or antiviral drugs to prevent or treat human coronavirus infections

Pitia coronavirus ktk wikipedia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom