Recent content by mshazari

  1. M

    Maalimu Seif arejesha form ya kugombea ukatibu mkuu

    Huyu mzee sasa ana uroho wa madaraka kama vile hakuna wapemba wengine wanaweza kuwa katibu wa chama duuh
  2. M

    Hongera Taifa stars

    Hongera timu ya taifa hapa ni wachezaji c mwalimu big up sana
  3. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Mkuu mpunga mm nataman kuwa na mdahalo wa kitaifa kuhusu mpira wetu hasa timu yetu ya taifa star napanga kuja kukusannya pm za wana jf hapa ili kuishinikiza tff iandae hili tumeshapotea ila tunaweza kujipanga tuende mbele maana hadithi n ile ile tuu hakuna jipya
  4. M

    Kocha wa Barcelona ajiuzulu

    Wanaojua mpira na uwajibikaji c longolongo
  5. M

    Mabanda ya kukodisha

    Hata mm nahitaji aliyenayo au kujua ani pm
  6. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Tumechemka sana hili lazima tuseme na tunalalamika ivi kwa kuwa tunaipenda nchi yetu na timu yetu ila timu yetu ipate mechi angalau moja na nchi ambayo kiwango chake kinalingana na zimbabwe kushinda leo goli moja bado timu n nyepesi sana angalia msumbiji kashinda ngapi jaman tuondoke hapa tulipo...
  7. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Rais nipo positive ila ushindi wa goli moja kweli kaka tusiweke siasa elewa kabisa wao wamekuja kutafuta draw ama kufungwa c zaidi ya moja na wamefanikiwa tupo pamoja ila safari n ndefu sanaa kaka malinzi, Tuwe na mjadala mpana sana kuhusu soka letu bila hivyo hatutaenda popote pale itabakia...
  8. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Duuh ushindi mdg sana huu kwao watatunyuka nyingi hawa
  9. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Haluwa nyingi kule arabuni
  10. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Asante kaka chamak tujuze vijana wanaonyesha uhai
  11. M

    Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    Mm kwangu nimepiga marufuku kuangalia clouds maana nipo na bibi yangu alafu wanaonyesha huo upuuzi wao wa kunyanyasa bibi na mama za watu wapuuuuzi sana hawa clouds
  12. M

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Mkuu cc wengine tupo mbali tunaomba mtupe update hapa kwenye jf maana na iman hakuna tv station inayoonyesha huu mpira ama kweli tff ya sasa kiboko
  13. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Ndio maana naipenda jf university collegge hapa unapata elimu bila cheti safi sana mm nipo znz lakini nataka kukimbia huku nihamie dar ili nilime haya matikiti maana huku znz yana soko balaa hasa kwenye mahotel ya kitalii. Big up kwa hili darasa nimelipenda
  14. M

    Kocha wa Taifa Star si lolote wala chochote!

    Taifa stars n janga la kitaifa sana maana hakuna la maana anzia jezi mpaka mpira wanaocheza n sifuri tuu,hakuna la kueleweka zaidi ya porojo za tff tuu sioni lolote lile la mpira kuchezwa zaidi ya maneno hakuna jipya, Tff haya maboresho yenu mungeyaleta mda mwafaka lakini c sasa mnatufanya...
  15. M

    Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    Jamaa hana makuu ya sifa za kijinga ila n muelewa na kwa kuwa yy hajasoma ila watoto wake wamesoma vizuri sana na kaajiri wasomi wazuri sana ambao wanaenda sambamba na kampuni kama coca cola
Back
Top Bottom