Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,227
- 1,362
Huyu kocha kafundisha mpira msumbiji na ethiopia ambako hajaleta mafanikio yeyote iwe kwa timu ya taifa wala vilabu alivyofundisha. Ni moja makocha wababaishaji ambao bara hili halijaoona mfano wake.
TFF ni hovyo kupindukia. Yaani wao wanategemea kocha mbovu na kamati ya saidia taifa star ishinde ndivyo nigezo vya kutuwezesha timu yetu ikacheze Afcon mjini moroco mwakani. hawa TFF walipeleka kesi ya kufuta uchaguzi wa TFF mpaka huko Zurish na sisi tulitegemea makubwa wakipata uongozi. Lakini kumbe TFF nao ndio wabovu na wachovu kupindukia.
wananchi lazima tususie kuishangilia Tifa stars ikiwa inacheza mpaka tuletewe kocha wa maana kama vile napomniac aliyeipeleka robo fainali cameroo world cup mwaka 1996.
Ubovu wetu sisi watanzani tunangojea mpaka kocha ashindwe kazi na tumetolewa kuingia ligi ya afcon mwakani huko moroco, ndipo tutaanza kulalamika.
wakati wa kulalamika ndio huu na sio mwingine. halafu utagundua kuwa TFF imeficha hata kutuelezea backgraund za kocha huyu na mafanikio yake.
Hivi sasa hivi mashabiki wa timu wa Gremio hawaendi uwanjani kuishangilia timu yao mpaka ibadili kocha na icheze vizuri. Je sisi tunangoja nn kuiadabisha TFF?