Live updates: Tanzania vs zimbabwe

Live updates: Tanzania vs zimbabwe

Tukiitoa Zimbabwe tutacheza na mshindi kati ya Msumbiji na Sudan Kusini kisha kama tutashinda tutaingia kwenye kundi lenye timu za Zambia, Cape Verde na Niger....hapa washindi wawili wanaenda Morocco 2015 na mshindi wa tatu anaweza kupita kama atakuwa best looser
Naona kuna mwanga kwa mbali.Vijana wanaweza kufanya kweli.Malinzi ni mpambanaji,stars ya majaribio imewaamsha wakongwe.
 
Mpira ni Half Time Tz 1 Zim 0......

Yafaa kocha afanye subs Mwinyi kazimoto yaelekea uarabvuni kumemfanya awe urojo...hachezeshi timu atoke waingie wachangamfu kama Amri Kiemba, Jonas Mkude elias maguli au Chanongo
 
listi ya leo
1. Deogratius Munishi
2. Shomari Kapombe
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Frank Domayo
7. Mrisho Ngassa
8. Mwinyi Kazimoto
9. John Boko
10. Mbwana Samatta
11. Thomas Ulimwengu

simba tupa kule mpira umeisha kwao
 
Tukiitoa Zimbabwe tutacheza na mshindi kati ya Msumbiji na Sudan Kusini kisha kama tutashinda tutaingia kwenye kundi lenye timu za Zambia, Cape Verde na Niger....hapa washindi wawili wanaenda Morocco 2015 na mshindi wa tatu anaweza kupita kama atakuwa best looser
Kweli ng'ombe wa masikini hazai, vikwazo vyote hivi tutavikwepa kweli.......
 
Ilitakiwa wapigwe goli nyingi tu, kisha kwao tunaenda kumaliza mchezo........
 
Back
Top Bottom