Recent content by mshana org

  1. mshana org

    Magodoro Na Mitumba Kama Packing cushions kwenye Container la Magari!

    Wala hutakaa uone akipelekwa ila kaa tayar kuona taifa likija kulipa wawekezaji
  2. mshana org

    Magodoro Na Mitumba Kama Packing cushions kwenye Container la Magari!

    Hivi munataka kutudanganya kuwa aliyaagiza yale magar hajui kua bandarin kuna scan inayoweza kuona kilichopo ndani?pili ilikuaje magar hayo yaje na plate no ya tz?hizi sinema za kitoto kabisa nch yenye wasomi hamuwezi kucheza michezo kama hii nikutudanganya.hata hayo makontena ya mchanga bado...
  3. mshana org

    Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

    Hakuna ambaye hajachoka basi tu kwakua wanakad zile ndo wanavunga mdomon ila mioyo inaungua.viva lisu
  4. mshana org

    Dada unang'ang'ania kuolewa, una cheti cha kuzaliwa?

    Hayo masharit apelekee familia yake.huu utaratubu wa serikali hii kila mtu kujitungia sheria kwenye majukwaa watanzania tukiukubali tumeisha
  5. mshana org

    Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Ili tufikie lengo tunahtaji mtaji na mtaji wetu ni watu.hao walofukuzwa wana mitaji watakayohama nayo waache waje.usitegemee aliyempa sophia simba kura akiwa ccm kesho atamnyima au kuipa ccm hatakama sophia hatogombea akiwa chadema.tunayo mifano ya bulaya na nk
  6. mshana org

    Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Hatuwaachi
  7. mshana org

    Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

    Wote wamefukuzwa kwa makosa ya kusema ukweli.waliokua safi niwaletu zidumu fikira za mwenyekiti
  8. mshana org

    Sophia Simba ataendelea kuwa mbunge kupitia mahakama. Ya Bashe na vitisho vya kuhoji

    Wew polepole amesema wamekisaliti chama kwa kushirikiana na vyama pinzani. hawa kwetu sio makap ni watu shupavu wasiopenda udhalimu wa ccm.
  9. mshana org

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Mim nimwana arusha jimbo hili chadema waeke paka au jiwe kwenye uchaguzi ccm waeke mtu tutachagua jiwe au paka.vitakua na akili kuliko mtu wa ccm kumpa hapa
  10. mshana org

    Nimempa shemeji yangu ujauzito

    Unampenda utembee na mdogo wake?ww umelaaniwa oa wote
  11. mshana org

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Wanachonikera wanafanya mambo kinyume na din kwa kutumia mwavuli wa din.hakuna tofaut na mtu aliyevaa kanzu akaenda kula ngurue nikuudhalilisha uislam.uislam ni din yenye misingi isiyobadilika.walichonya din haikitambui hiyo dua niyaowala isihusishwe na din.
  12. mshana org

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Kweli mashekh wa bakwata wamezidi unafiq kwa kuendekeza tumbo.din ya kiislam iko wazi na inamisingi yake na muongozo alotuwekea mungu.haikubaliki dua ya asiyekua muislam kumuombea muislam au muislam kumuombea asiyekua muislam.kwa kuitumia quran.shart asilim kwanza.sasa hawa mashekh uchwara...
  13. mshana org

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Huu niuongo wawazi mbowe hajakamatwa mbowe alienda mwenyewe polisi na wala hakuna taarifa Za mbowe kupekuliwa nyumban kwake.huu niuchochezi.
Back
Top Bottom