Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,890
Mabadiliko yanayoendelea ambayo yamewakuta old guards na wanasiasa wengine wenye uzoefu ccm ni hatari sana kwa uhai wa vyama vya upinzani, kwani ni hatua ambayo inakipa chama cha mapinduzi taswira chanya kwa wananchi!
Fukuza fukuza inayoendelea, imewagusa hata baadhi ya watu ambao kwa kipindi flani upinzani umekua ukiwatuhumu kwa kufanya mambo flani katika jamii!
Kitendo cha kuondolewa kwa watu hao ni ishara tosha kuwa nidhamu kwa wanachama ni jambo LA msingi kwa sasa! Kwakua ccm ni chama mama, kujisahihisha kwake kutapelekea pia kujisahihisha kwa serikali na baadae taifa!
Nidhamu inayojengwa ndani ya ccm itaambukizwa nchi nzima jambo ambalo ndilo wapinzani walilokuwa wanalitaka! Kwa kufanya hivyo imani ya wananchi juu ya ccm itazidi kuimarika na kuwapa tabu sana wapinzani!
Sioni ni kwa namna gani upinzani utaimarika katika mazingira hayabya ccm kujisahihisha, zaidi sana ya kuendelea kudumaa na kupotea.