Sofia Simba, Bashe, Malima na Musukuma karibuni Ufipa, upepo unapovuma

gasto genaro

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
780
554
Naam!

Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.

Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
 
Kama walidhindwa CCM huku kwa mfalme wa same wataweza
 
Umesahau maneno ya afande sele,kuwa zito alimwagiza amchafue lowasa uchaguzi Mkuu,hiyo ni ccm B
ULISHAWAI SIKIA HATA SIKU MOJA ACT ILIMJIBU AFANDE SELE....CHAMA MAKINI HAKIWEZI BISHANA NA WACHUMIA TUMBO.
HIVI KATI YA ACT NA CHADEMA KIPI NI CCM B?
MAKAPI YOTE YA CCM YANAZOLEWA NA CDM, CHAMA KIMEPOTEZA DIRA, KIMEJAA WACHUMIA TUMBO MTUPU KUTOKA CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom