Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa ni ya msingi sana. Kila mtu anayo haki ya kuwa na itikadi yoyote ya ksoasa na kubadilisha atakavyo. Vivyo vyama vya siasa vina katiba na miongozo nayowaongoza kupokea au kutopokea wanachama wapya. Natarajia CHADEMA kuwa makini katika kusajili wanachama wapya!
 
hata mange ameshauri hivyo . ccm reject ni makapi
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Kwanini asichukue nae Ni zoazoa?
 
Mbowe beba yeyote atakaekuja kikubwa uwe makini kwakuwa mtu alieschwa ghafla na mkewe/mumewe aweza mpata mwenza ghafla na kukaa naye lakini si lazima awe anampenda wakati mwingine ni stress na utakuta stress zikipungua aweza rudiana na yule wa awali halafu yakatokea ya shibuda aliekuja kwetu kumbe bado anaipenda chama chake, akawa mbunge wa Cdm lakini Mwana ssm hivyo wakija wachukue with care huu ndo muda wskuwavuna ucjeshangaa na mwanafamilia wa sizonje akatia matendegu huku chamani
 
Waliotemwa na ccm wametemwa kwa sababu za kisiasa, wanapinga Udikteta . .

Nchi hii ni yetu sote, itikadi na misimamo ya kisiasa inabadilika kutokana na WAKATI na MAZINGIRA mwafaka . .

Kama kuna wakati wa Watanzania kubadilika kupinga UDIKTETA ,basi wakati huo ni sasa . . Yeyote anayepigana na udikteta wa mtu/raisi au kimfumo . . , ni mpenda mabadiliko ya kweli . .Tukumbuke kuwa chama chenye watu,wapiga kura na nguvu ya kuchukua nchi kwa sasa ni CHADEMA . . , shime tuungane sote nao kumng'oa MKOLONI MWEUSI . .

Hakuna adui wa kudumu ktk siasa, karibuni CHADEMA wote mliofukuzwa ccm . .
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Wanaokomolewa ni Watanzania wote pasipo kujali itikadi za kisiasa, kwani kwenye huduma za kijamii huwa kuna matabaka? Au unamaanisha Mbowe, Lowassa, nk ndio watakomolewa?
 
Tangu lini chama cha sasa kikataa wanachama....acheni ujinga wa kipumbafu....wanakuja na tunawapokea kama wana chama wawngune....kwani tunapozunguka mikoani kupokea wana chama wapya huwa tunawahoji kwanza.. Hizi tabia sijawahi kuziona dunia ni...
 
Wapo wanawake waliojaaliwa kheshima maumbile mazuri ila wakapata bahati mbaya ya kuolewa na play boys hivyo heshima zake zote azitoazo kwa mumewe hazina maana mpaka anajikuta anafukuzwa na kinachotokea ni kumshukur Mungu hivyo mwanamke kama huyu aweza olewa na maisha yakawa murua hivyo waliofukuzwa huko kwa watakaowiwa kuvaa gwanda Mbowe usiwaache ila ikitokea kibajaji akafukuzwa huko aishie porini huku asikanyage
 
Chadema ni chama cha siasa na kinahitaji mtaji wa kura, hivyo kukataa wanachama kwa sababu zisizoeleweka utakuwa ujinga wa mwendo kasi
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Hatuwaachi
 
Ili tufikie lengo tunahtaji mtaji na mtaji wetu ni watu.hao walofukuzwa wana mitaji watakayohama nayo waache waje.usitegemee aliyempa sophia simba kura akiwa ccm kesho atamnyima au kuipa ccm hatakama sophia hatogombea akiwa chadema.tunayo mifano ya bulaya na nk
 
Hayo mawazo potofu muache MTU aende anako kutaka na pia muache MTU amchukue amtakae kwani hujui kua kamasi ni uchafu kakini penye shida ya ngundi unaweza pubandikia karatasi za matangazo
 
Back
Top Bottom