Nimempa shemeji yangu ujauzito

Nimempa shemeji yangu ujauzito

Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Kama kweli unampnda why ulichepuka?

Na pili inafanya mapenzi bila kinga na mwanamke asiye tarajio lako unategemea nini?
 
yaan acha yote ila hilo swala la kujiita mwalimu ndo limenichosha...!!!!
acheni ajira zitoke 2019....!!!!
 
Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Ntolee salam kwa mama Kijacho
 
Ngoja faili lako nilifikishe kwa Mange Kimambi ili akuchambe mwaka mzima. Back to the topic... Umefanya kosa kubwa sana kutembea na shem yako tena unakiri kuwa demu wako anakupenda. Kwa nn umuumize mwanamke anayekupenda. Hata ukija kumuoa huyo demu bado utachepuka na shemeji yako, maana yake ndoa yako itakuwa inakosa maadili. Baadae utakuja hapa kuomba ushairi.. Mke wangu toka nimuoe kabadilika.. Sio kwa upuuzi huo. Na ukimuoa ndo Utamzidia maumivu bure dada wa watu, bora umuache tu ww ubakie na huyo malaya mwenzako. Hivi na nyie mabinti mnakubali vipi kutembea na shemeji zenu, yaani unajua kabisa huyu bwana anatembea na dada ako halafu na ww unamkubali mpaka anakupa na Mimba, akili zenu Bashite kabisa nyie. Na sisi Wanaume tubadilike, tukiendekeza tamaa ya mwili itatufikisha pabaya. Wazuri kila siku wanazaliwa, unadhani tuwamaliza wote. Ukipata anayekupenda tulia.
 
Kama unampenda ungechepuka namdogo wake kweli nyie wote na shem wako ni makanyagio, muoe huyo huyo maana hata ukimuoa dada yake hamtaachana unaanzaje kumtamani ndugu wa mke mtarajiwa hapo hujaoa ukioa je si mpaka watoto wa dada zake utapitia nenda kafundishe huko ukawajaze mimba wanafunzi jela na miaka 30 inakungoja ndalichako yupo huko nyang'au wewe!
 
Huna kazi ya uhakika unatembeza, ukioa si ndio utakuwa balaa.

Bola huyo mchumba ajue akuache ajipatie mwanaume mwingine.

Haujiheshimu haufai kuwa mume.
 
Asanteni kwa ushauri, japo changamoto toka kwa baadhi ya member hazikosekani

Nitaufanyia kazi ushauri unaojenga uliotolewa na wakuu anuai hapo juu

Asanteni
 
Kutokuwa na
Huna kazi ya uhakika unatembeza, ukioa si ndio utakuwa balaa.

Bola huyo mchumba ajue akuache ajipatie mwanaume mwingine.

Haujiheshimu haufai kuwa mume.
kazi sio kigezo cha kutokuwa na mwanamke!
Kutembeza kawaida
 
Lait huo ushauri ungeutaka kabla ya, angalau ungeshaurika sasa umeshampa hadi mimba mdogo mtu unategemea ushauri gani utakaokufaa.

Hilo ni lako kusuka au kunyoa ni maamuzi yako.
 
Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Mueleze ukweli dada yake kisha umuoe mdogo wake
 
Ungekuwa unampenda usingetembea na ndugu yake wa damu... majutoo ni mjukuu vuna ulichopanda hakuna jinsi hapo...
 
Ndio maana walim wa sanaa hamjapewa ajira!!

BTW najuta kupoteza muda wangu kusoma huu upuuzi.
 
Kuna watu ni wachafu jamani, unapata ujasiri upi wa kutembea mtu na na mdogo wake?? Muoe huyo mdogo maana ungekua unampenda dada ake usingemdhalilisha kwa kutembea na ndugu yake!!
 
Sanaa mpaka kwenye mapenzi!!! hongera sana we lea hicho kiumbe
 
Naomba ushauri

Nimekuwa nikijihusisha na kuchepuka na mdogo wa mpenzi wangu ambaye ndiye namtegemea kumuoa hapo baadae maisha ya ajira yakikaa vizuri

Sasa nimejitokeza hapa nahitaji ushauri kwani nahisi kuchanganyikiwa kabisa kwani huyu mdogo wa mpenzi wangu amenasana ujauzito na hii alinitaarifu sikuamini hadi hapo leo nilipoamua kumpeleka hospitari akapimwa na ana mimba ya miezi miwili!

Wakuu nakuombeni mnishauri kwa hali hii nakababiliana nalo vipi na uyo wife wangu wa badae hatakiwi kujua hii kitu kwani ananipenda na ninampenda sana

Nahitaji mawazo yenu
Unampenda utembee na mdogo wake?ww umelaaniwa oa wote
 
Kwa hiyo hautaki Wa kumuoa ajue ili uendelee na ufuska...ee...kuwa mkweli kwa mwenzi wako...ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom