NINI KIMEIKUMBA MABASI YA MWENDOKASI.
Leo 13:15pm,09/04/2019.
Leo nilikuwemo katika gari ambayo imejaa hadi imeshindwa kwenda,mipira ya matairi ikaanza kunuka kuungua ikabidi dereva aombe gari nyingine ije kupunguza watu,Basi nyingine ikaja watu wakapungua ile basi ikajaa na bado hii basi...
CAG BORA WA MUDA WOTE NCHINI TANZANIA.
Leo 13:15pm,07/04/2019.
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za Umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.Huyu ndiye aliyewapa kiki Chadema kwa "Special Audit" zake ambazo...
KASI NA ARI YA UTENDAJI WA RAIS DR JOHN MAGUFULI NDIO MTOA ROHO WA CHADEMA, CUF NA ACT.
Leo 13:15pm,31/03/2019.
Hivi sasa wana Chadema na ACT wanavizia Boeing ikiwa imepark wanaipiga picha na kusema iko likizo haina vibali katika anga la kimataifa eti Serikali haina business plan,Airbus...
KILA LA KHERI TAIFA STARS, NI ZAMU YETU AFCON2019.
Leo 12:15pm 24/03/2019.
Taifa Stars leo Jumapili jioni itashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kuandika historia ambayo vijana wengi wa kizazi kipya hawajawahi kuiona. Taifa Stars inacheza Grand Finale yake leo jioni kufuzu fainali za Afcon ambazo...
GOLI LA PETER TINO LAWANYAMAZISHA WAZAMBIA, KENNETH KAUNDA KWENYE UWANJA WA NDOLA, ZAMBIA,1980.
Leo 13:15pm,22/03/2019.
Enzi hizo nilipata kuwashuhudia Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel Peter (Ema Peter) walipokuwa Manyema (west ham) huku Gebo huku Ema,kwenye ligi daraja la tatu ilala...
BIA KUUZWA NUSU BEI KWA MASAA SITA KAMA TAIFA STARS ITASHINDA NA KUINGIA KWENYE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA SIKU YA JUMAPILI.
Leo Jioni,17:13pm
Goli la Mluguru Peter Tino ndilo limebaki kwenye historia kama goli lililoiingiza Taifa Stars kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika,mwaka 1980 kwa...
SISI WATANZANIA TUMEAMUA KUSAIDIA NDUGU ZETU MALAWI, MSUMBIJI NA ZIMBABWE.
Leo 13:15pm 20/03/2019.
Rais John Magufuli ametoa msaada wa hali na mali kwa ndugu zetu Malawi, Msumbiji na Zimbabwe baada ya kupata taarifa za kimbunga kisha kuongea na maraisi wa nchi hizo kujua hali halisi...
BANDARI YA DAR ES SALAAM NA SOKO LA KARIAKOO NI FURSA YA DHAHABU KWA WATANZANIA.
Leo 12:15pm 17/03/2019.
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kung'amua fursa inayopatikana kupitia uwepo wa Bandari ya Dar es Salaam katika bahari ya Hindi na Soko la Kariakoo ambalo ni kitovu cha uuzaji wa...
SHILINGI YA TANZANIA YAIMARIKA KWA 3% DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.
Leo 13:15pm,10/03/2019.
Baada ya mwezi February shilingi kuporomoka dhidi ya dola kwa 2.15%,Sasa shilingi imeanza kuimarika kwa 3% katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi, ukuaji wa kiuchumi ambao umeongozwa na Watalii na...
TEMBO WA SIASA ZA TANZANIA AREJEA CCM.
Leo 13:15pm,03/03/2019.
Mwamba wa siasa za Tanzania,Mwamba wa Siasa katika dunia ya miongo mingi, Laigwanan aliyefikia hadhi ya juu katika Uongozi na kupendwa na Watanzania kulikoleta Mafuriko Mwaka 2015,Mahaba hayo yalichagizwa na kilele cha hali ya juu...
HALI YA KIUCHUMI YA TANZANIA NI NZURI NA INATOA MATUMAINI YA BAADAE.
Leo 13:15pm 24/02/2019.
Tanzania inaendelea na mchakato wa kuwa na uwiano mzuri baina ya Sekta ya Kilimo,Sekta ya Viwanda,Sekta ya Nishati na Sekta ya Usafirishaji wa Anga, bahari na Nchi Kavu.Kilimo kimeanza kuwa na uhusiano...
UTUNDU LISSU WA KUOMBA HELA YA KULA ULAYA NI ZAIDI YA UMATONYA.
Leo 13:15pm,16/02/2019.
Sifurahishwi na tukio la Tundu Lissu kugeuka omba omba Ulaya ilihali anaweza kurudi nyumbani kuja kulima Alizeti kule Singida na kujipatia pesa pasipo kuwa omba omba ulaya,au arudi akasaini kwa mwajiri wake...
UCHU WA URAIS, UMEWATOA MACHO NA STAHA TUNDU LISSU NA ZITTO KABWE.
Leo 13:15pm,10/02/2019.
Kadri afya ya Tundu Lissu inavyoimarika na kuonesha dalili ya kurejea Tanzania ndivyo Zitto Kabwe anavyozidi kuibua matukio ya kulazimisha azungumzwe na kubaki kwenye kurasa za mbele za magazeti.
Zitto...
TUNDU LISSU MTUMWA WA WAZUNGU.
Tundu Lissu kwa kuwafanya wazungu kuwa Baba zako na Mama zako, umeusaliti Mkutano Mkuu wa kwanza wa watu Weusi duniani (Pan Africanism Conference) ulioitishwa na Kwame Nkrumah mjini Manchester, mwaka 1945 kuzungumzia Mshikamano wa mtu mweusi.
Tundu Lissu...
MH RAIS MAGUFULI;UMEUTENDEA HAKI URAIS WA TANZANIA NA UENYEKITI WA CCM.
Jambo moja ambalo Mh Rais Magufuli uliliona wazi katika kampeni za mwaka 2015 ni kwamba Watanzania wanataka Mabadiliko, na kwamba wengi walihisi Mabadiliko haya yangeletwa na Edward Lowassa chini ya mwamvuli wa UKAWA. Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.