Bia kuuzwa nusu bei kwa masaa sita kama Taifa Stars itashinda na kuingia kwenye michuano ya mataifa ya Afrika siku ya Jumapili

Dec 13, 2018
30
140
BIA KUUZWA NUSU BEI KWA MASAA SITA KAMA TAIFA STARS ITASHINDA NA KUINGIA KWENYE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA SIKU YA JUMAPILI.

Leo Jioni,17:13pm

Goli la Mluguru Peter Tino ndilo limebaki kwenye historia kama goli lililoiingiza Taifa Stars kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika,mwaka 1980 kwa kuifunga Zambia,jijini Lusaka.

Toka mwaka 1980 hatujashiriki kombe la Mataifa ya Afrika, si kwa sababu labda tulikuwa na Vita au njaa bali tulishindwa kufaulu.

-Nani kuvunja rekodi ya Peter Tino.

Je ni Mbwana Samatta!? Ama ni Simon Msuva, Je ni Shiza Kichuya ama Jonas Mkude!?
Ni muda sasa wa kuvunja historia ya Straika wa zamani wa Pan Afrika, Peter Tino, aliyepiga krosi ya dhahabu kuwafunga Wazambia pale Lusaka, mchana wa siku ya Jumamosi na kutupeleka katika michuano ya Mataifa ya Afrika,mwaka 1980.

Kuelekea mchezo wa Tanzania na Uganda,Tutakwenda kumuenzi Shujaa Peter Tino, Mluguru wa Matombo,MorogoroKaka yetu,Baba yetu aliyefanya jitihada kwa ufundi mkubwa akafunga Goli kule Lusaka, Zambia lililotupeleka Lagos, Nigeria kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza na sisemi ya mwisho 1980 japo
rekodi imesimama hadi leo. .

Ili kumuenzi Peter Tino na kuwapa hamasa Watanzania na Wachezaji Kuelekea mechi na Uganda siku ya jumapili
nashauri barabara ya Vingunguti Kiembe Mbuzi alipokuwa anakaa Shujaa Peter Tino,ufanyike utaratibu na mtaa uitwe "PETER TINO STREET " ama

"PETER TINO ROAD " hii ndio njia pekee ya kumuenzi shujaa Peter Tino aliyetupeleka Afcon kwa mara ya kwanza mwaka 1980 na haijatokea tena.Itakuwa ni kumbukumbu nzuri na heshima kwake na wanamichezo wote kufanya matukio ya kirekodi kitaifa na kimataifa
Naamini Waziri Wa Michezo au Mkuu wa Mkoa kwa nafasi yake anaweza kufanikisha hili,
Mungu Ibariki Taifa Stars tuweze kuingia tena kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, siku ya jumapili, kesho kutwa.

Nikiishia hapa, Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
 
SIO SIRI LEOOO KAMA MTALEWAAA KUNA WATOTOO WA MBWA WABAYA SANAA PALE CHANGOMBE

MMSIPOKUWA SAWAAAA WATAMALIZA MARINDAA YENU LEO MUHIMU KUJILINDA SANA NA MUHIMU KULINDA HIFADHI YETU YA HESHIMA
 
Tanzania leo tutatia aibu sio kwa kikosi kile
Hapasijaona pahala pakuweka uzalendo. Tunatakiwa kumwambia mungu atusaidie tushinde. Alafu tumwombe mungu huyohuyo asaidie wengine wapatwe namabaya yaani washindwe mchezowao.alafu tutakapo shinda tukamshukuru kwakulewa.hapohapo tumewatangazia watu tumewaita wazee wabusara wote watoe msaada wao. Sasa ikatokea tumeshinda nani atachukua sifa. Nimwenyeenzi mungu au wanasiasa au wazee wabusara au niwachezaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIA KUUZWA NUSU BEI KWA MASAA SITA KAMA TAIFA STARS ITASHINDA NA KUINGIA KWENYE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA SIKU YA JUMAPILI.

Leo Jioni,17:13pm

Goli la Mluguru Peter Tino ndilo limebaki kwenye historia kama goli lililoiingiza Taifa Stars kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika,mwaka 1980 kwa kuifunga Zambia,jijini Lusaka.

Toka mwaka 1980 hatujashiriki kombe la Mataifa ya Afrika, si kwa sababu labda tulikuwa na Vita au njaa bali tulishindwa kufaulu.

-Nani kuvunja rekodi ya Peter Tino.

Je ni Mbwana Samatta!? Ama ni Simon Msuva, Je ni Shiza Kichuya ama Jonas Mkude!?
Ni muda sasa wa kuvunja historia ya Straika wa zamani wa Pan Afrika, Peter Tino, aliyepiga krosi ya dhahabu kuwafunga Wazambia pale Lusaka, mchana wa siku ya Jumamosi na kutupeleka katika michuano ya Mataifa ya Afrika,mwaka 1980.

Kuelekea mchezo wa Tanzania na Uganda,Tutakwenda kumuenzi Shujaa Peter Tino, Mluguru wa Matombo,MorogoroKaka yetu,Baba yetu aliyefanya jitihada kwa ufundi mkubwa akafunga Goli kule Lusaka, Zambia lililotupeleka Lagos, Nigeria kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza na sisemi ya mwisho 1980 japo
rekodi imesimama hadi leo. .

Ili kumuenzi Peter Tino na kuwapa hamasa Watanzania na Wachezaji Kuelekea mechi na Uganda siku ya jumapili
nashauri barabara ya Vingunguti Kiembe Mbuzi alipokuwa anakaa Shujaa Peter Tino,ufanyike utaratibu na mtaa uitwe "PETER TINO STREET " ama

"PETER TINO ROAD " hii ndio njia pekee ya kumuenzi shujaa Peter Tino aliyetupeleka Afcon kwa mara ya kwanza mwaka 1980 na haijatokea tena.Itakuwa ni kumbukumbu nzuri na heshima kwake na wanamichezo wote kufanya matukio ya kirekodi kitaifa na kimataifa
Naamini Waziri Wa Michezo au Mkuu wa Mkoa kwa nafasi yake anaweza kufanikisha hili,
Mungu Ibariki Taifa Stars tuweze kuingia tena kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, siku ya jumapili, kesho kutwa.

Nikiishia hapa, Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854.
vipi kuhusu soda na maji?

bora bashite asingeshirikishwa lkn maadam yupo hiyo mechi tutatoka suluhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom