Ebu kua mtu mzima ww...maisha kwanza....huyo demu una uhakika gani hagongwi saiv...nenda kasake life ww...km wako ukirudi atakutafuta mwenyewe...wengine tumeshasacrifice mengi
Huyu mtoa mada na yy km Cpt.Komba tu...huyo bingwa kasoma miaka tisa chuo kuitwa bingwa...5 for bachelor degree. ..4 for masters of medicine in dermatology and veneriology...we ungekua umesoma kadegree kako ka miaka 3 baada ya miaka 9 si ungekua na phd...
mbona umelipa 15,000 kwenda kumzomea...
Hahahahahaaa.... Rutashobolwa....usiwaze mbaba...Not personal bana....kaniboa tu huyu jamaa...ni km wanavyotania kwamba umetoka Uru Kishumundu...usiwaze ila mtoa mada kweli kibakuli...!!!
Mtoa mada ni kibakuli km atakayemsupport...
Utoto wa mjini umekuharibu...ungekua unafanya kazi zinahohitaji saa ungeelewa umuhimu wa saa sio ututolee kitechno chako wakati kila mtu ana simu yake...!!! Umetokea Bunda nn ww
There is nothing like kupona UKIMWI kwa kuombewa...niletee mgonjwa nimpime nijirdhishe ana mdudu thwn leteni huyo muombeaji...!!there is nothing like that..!!
Labda kama ulipewa kqa kubakwa...!!a virus can stay undetected and dormant for years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.