hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Hiyo elfu 10 mtu akiwa Bar anatumia kwa beer ngapi? Au watu priority kwao ni beer tu, afya zero.
Hii haina ubishi mkuu.
Hiyo elfu 10 mtu akiwa Bar anatumia kwa beer ngapi? Au watu priority kwao ni beer tu, afya zero.
Naona we umechanganyikiwa kweli, we unaona sh elfu 10 ni Pesa kubwa.
Kwanza nikusahihishe: Ulitoa elfu kumi si kumuona daktari, wewe ndie ulienda kuonwa Na daktari ili atambue tatizo lako Na akupe dawa sahihi. Kwanza hao madaktari nawashangaa kulipisha elfu kumi, Kama mi lawyer sikuoni chini ya elfu hamsini
Kama unaweza kufahamu kuwa maelezo ya Specialist hayajitoshelezi, sasa ulienda kumuona ili iweje? Jitibu mwenyewe si unajua?
Na kumuona mwl bingwa shuleni ni sh ngapi ?
Mkuu, nadhani hoja iliyoletwa ni nyepesi. Huwezi kupewa gharama ya kuonwa na daktari kwa Tsh 10,000/= halafu ulalamike, hasa kwenye uchumi wa sasa. Na ingawa sidhani kama aliyeonana naye ni Daktari wa ngozi kwani gharama bado ni ndogo.
Laiti amabcyo waru wangelijua ilivyo gharama kuonana na wataalamu wa afya hospitali za wenzetu tusingesema hivyo na hapa tutarudi kule kule, matibabu ya sasa bila Bima, utakufa masikini hii ni hakika.
Kwa hali ilivyo sasa ukiugua/kuuguliwa ni stress tupu sababu ya gharama na urasimu. Consultation fees zitaendelea kuongezeka kila kukicha.. Hiyo 10,000 nadhani ndo the lowest fee kumwona specialist Tz..
WAY FORWARD.....
Serikali inatakiwa kuweka utaratibu utakaowawezesha watanzania wote wawe na uwezo wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya wa taifa..
Hayo Mambo ndio ulimboka aliyokuwa anayapigania lakini "Aliyemteka Ulimboka Huyu Hapa" akafanya yake.
Watanzania Nyerere aliwaharibu. Mnataka afya bure. Elimu bure. Kila kitu bure. Sasa wewe walalamika kwa elfu kumi ambayo ni consultation fee ya clinical officer au Nurse... ukija tunako charge kwa dola si utakimbia...
Usilingan za wenzetu na zetu
Heri yako ulikuwa na milioni mbili ukaokoa maisha yako, sisi tunaotegemea Mwananyamala, Temeke, Amana tungekuwa tumeshakufa zamani.
mkuu yote ni kumuomba Mola, sijaanzia apo, nilianzia Moshi KCMC nikaambiwa eti hakuna CT Scan, nikaenda Arusha OOLa , eti labda Agha Khan, nikaenda dar ndio ayo yalinikuta, Mtukuze Mola ukiwa na afya njema,
hii nchi yetu ni ajabu sana, tunaangamia kwa kukosa maarifa... Imagine tunanunua shangingi la mil400 kama serikali ila kanda nzima haina CT Scan ya mil izo izo kwa upande wa sirikali....