Mpenzi hataki niende Jeshini

Mpenzi hataki niende Jeshini

Huyo mwanamke ana matatizo, yeye hana jukumu la kuendesha familia ila ww ndo unalo kwahiyo yeye haoni mzigo kiviiiiile. Harafu Mkuu inaelekea ww unayumbishwa sana na huyo Bint, yaani ameshajua kuwa unamzimikia vibaya sana.

Sikia kijana usiwe chuo form za kujiunga Jeshi na uende ukatafute maisha huko. Ila nenda Jeshi kama una vyeti vizuri na mtu wa kukushika mkono.
Huyo mwanamke alipaswa wakati huu akutie moyo na sio kuanza kukufanya uwe na Stress.

Wewe ni mtoto wa kiume utashikwaje akili na mwanamke kizembe? Tena anakushika akili kwa maslahi yako binafsi.
Hata baba ako ukimwambia jambo hili anaweza akakutilia sumu ufe, wewe ni mwanaume na future ya maisha yako ipo mikononi mwako mwenyewe.
 
Ebu kua mtu mzima ww...maisha kwanza....huyo demu una uhakika gani hagongwi saiv...nenda kasake life ww...km wako ukirudi atakutafuta mwenyewe...wengine tumeshasacrifice mengi
 
KikulachoChako
Ushauri mzuri sana huo kijana.. haya sasa nenda jeshini acha kuremba.
 
Last edited by a moderator:
mzee wa_ngada
Sijasema siwezi ishi bila yeye mkuu cause mpaka hapa nilipofika nimefika mwenyewe. Na kwa kulijua hilo ndo maana nimeleta mada sehemu sahihi kupata ushauri kutoka kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa wanawake wapo wengi sana wenye staha,wazuri,watamu,wachamungu,na kila aina ya nakshi,

Nenda jeshi kwani kunasiku atakuacha kwenye mataa na hivyo vibarua vyako ataenda kwa mwingine na kigezo atakuambia huna kazi jitambue maisha ni yako.
 
Umekaa umejilainisha, unaambiwa usiende jeshini na wewe unakubali uko sawa kweli? ajira hakuna kijana.Hata kama ulimkuta na bikira iwe ya dukani au orijino huyo mwanamke hakufai.
 

Kiukweli nami nampenda sana na sijui nifanyeje kwa kweli. Wana Jamii forums najua kuna watu wana busara na hekima zao humu ambao wana uwezo wa kutoa kitu kitakachonisaidia mimi na wengine juu ya hili.
Nawasilisha.

Ikifikia hapa mara nyingi ni mmoja wenu kujisacrifice ama mapenzi kuvunjika.
Kwa wewe sasa kama unadhani kuendelea na jeshi ni muhimu sana kwa maisha yako, NENDA. Kama anakupenda kweli hatokuacha, akikuacha sidhani kama ukiacha jeshi kwa ajili yake itasaidia kwa sababu around the conner may come another oppotunity u'll be back in the same shit.

On the other hand its not about her wanting u not to go. Anatoa sababu za kueleweka na wewe kwa akili yako ya chuo ukaona ana point?
Kwa sababu mwanamke mwingine sababu anataka uwe karibu. Uwe karibu then a successful guy comes along utapigwa chini kwa sababu hujaendelea... wakati chance yako ya progress yeye ndo aliishikia chini. Beware na ready made girls!
 
Baba yako na mama yako wakigundua unawaza haya,watajiskia vibaya sana.

Wanaume wengine mbona mnatuangusha!!!?

Mwenzio kuna mtu alikuja akaniambia hapendi kazi ninayoifanya-nilichomwambia nikamwambia aende akadate na watu ambao wako kwenye kazi anayoipenda.yaah aliondoka but anajua kuwa alikutana na mwanaume sio mvulana.
 
mzee wa_ngada
Sijasema siwezi ishi bila yeye mkuu cause mpaka hapa nilipofika nimefika mwenyewe. Na kwa kulijua hilo ndo maana nimeleta mada sehemu sahihi kupata ushauri kutoka kwenu.

Ilishantokeaga miaka 4 iliyopita nikiwa ndo naanza kazi. Demu angu aliaga kuwa nataka kwenda Kisoma akawa anaishi kwa dada yake,alianza kubadilika taratibu baada ya miezi 4 nikimpigia nakuta simu yake inatumika zaidi ya nusu saa na nikipiga hapokei na akitaka kupokea ananiambia nilikuwa naongea na mwanafunzi mwenzangu.
Naamaanisha wanawake hawana guarantee hasa mkiwa mbali.. Tafakari chukua hatua.
 
Last edited by a moderator:
Ilishantokeaga miaka 4 iliyopita nikiwa ndo naanza kazi. Demu angu aliaga kuwa nataka kwenda Kisoma akawa anaishi kwa dada yake,alianza kubadilika taratibu baada ya miezi 4 nikimpigia nakuta simu yake inatumika zaidi ya nusu saa na nikipiga hapokei na akitaka kupokea ananiambia nilikuwa naongea na mwanafunzi mwenzangu.
Naamaanisha wanawake hawana guarantee hasa mkiwa mbali.. Tafakari chukua hatua.

Kweli mkuu hata mimi nimelichungulia hilo. Asante sana kwa ushauri.
 
nendA jeshinI achanA nA huyO mdadA atakupotezeA mudA,kamA wanawake wapo tele
 
Nenda jeshini brother unaweza pata zali ukatusua na kuachana na maisha ya kuungaunga,mwanamke kitu gani?au ulizaliwa nae?u just go brother wen ur r8 times come u will find another gal.there are many fishes in the sea out there.
 
Back
Top Bottom