Recent content by msanifuwaukweli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Demiss njoo kwenye uzi wetu tupeane update ,ndio tarehe zetu hizi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

    mkuu wewe ni msabato na ulikua unahitaji mume??/ maana naona nimekukera sana ,pole ila ndio msimamo wangu,na wenye sifa wamekuja inbox najaribu kufanya selection kutokana na vigezo vyangu ili kupata mtu sahihi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girls born in 1990

    ukweli mchungu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

    bado nasubiri aliye tayari kwa ndoa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia Voda hawaoni mitandao ya bei nafuu au ndio mtandao wa matajiri?

    wapi nimesema haikuzinduliwa na mkapa mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia Voda hawaoni mitandao ya bei nafuu au ndio mtandao wa matajiri?

    Nilitaka nihamie airtell nikakumbuka kumbe ndio wale waliopeleka gawiwo kwa serikali juzikati
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia Voda hawaoni mitandao ya bei nafuu au ndio mtandao wa matajiri?

    voda haijaingia mwaka 2000 mkuu labda kama umeanza kuitumia mwaka huo
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    dah nina 36 nishakosa mke
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mme

    mbona hupokei bibie
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    DEMIS mzigo ushaingia njoo pm tuyajenge
  11. M

    JamiiForums Tanzania Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

    nenda kwenye garage ya maana mwambie akufanyie safari check ,atafanya vyote
  12. M

    JamiiForums Tanzania Service ya kufanya kwa ajili ya masafa marefu

    k kama amewahi asiwe makini au sio mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili tabasamu ni la usoni tu ndani ya moyo wako unaumia

    kuwa mkweli toka moyoni mwako msikitini na kanisani sehemu gani kanzu inavaliwa kwa wingi,ok nchi za kiislam na zenye wakristo wengi vazi la kanzu linavaliwa sana nchi zipi kati ya hizo.rudi mtaani kwako siku ya ijumaa na jumapili vazi la kanzu linavaliwa siku gani kwa wingi kati ya siku hizo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili tabasamu ni la usoni tu ndani ya moyo wako unaumia

    kazi za wachungaji na mashekhe ni tofauti mkuu,hata suruali za kike wewe huwezi kuvaa ingawa ni suruali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    vp muda huu
Back
Top Bottom