comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 2,732
- 2,477
ama hakika,mimi ndimi.
Asee huwaga nashangaa sana huduma za voda zilivyo bei juu, najiulizaga hao wanaotumia voda si wanapigwa sana? Au ni mtandao wa matajiri?.
Yani kifurushi cha week MB 500 kwa Shilingi 3,000/= ? ni MB chache sana kwa bei hiyo, sijui hawa voda wanajiamini nini.
Wakati mimi kwa 1000 tuu nakula GB1 na madakika na meseji kibao kwa week kwenye halotel na mtandao upo kasi.
Eebana hawa wahuni ni kuwapiga chini tu kwanza hawana Privacy ya taarifa za wateja.
Kama unalaini yako ya voda hapo fuata kielelezo katika picha hii.