January Makamba hili tabasamu ni la usoni tu ndani ya moyo wako unaumia

Kanzu ni vazi la Mashariki ya kati, kanzu haimaanishi Uislam.
kuwa mkweli toka moyoni mwako msikitini na kanisani sehemu gani kanzu inavaliwa kwa wingi,ok nchi za kiislam na zenye wakristo wengi vazi la kanzu linavaliwa sana nchi zipi kati ya hizo.rudi mtaani kwako siku ya ijumaa na jumapili vazi la kanzu linavaliwa siku gani kwa wingi kati ya siku hizo mbili.

nikutakie majukumu mema.
 
Naona unakabidhiana ofisi kwa Simbachawene ukiwa umepiga picha mbalimbali ukijaribu kuonyesha tabasamu la usoni, moyoni ukiwa umejaa simanzi.

Nasema hivi kwa kua mimi na wewe tunafahamiana barabara,kiukweli umeumia sana.
Anyway piga konde moyo,ndio maisha hayo,ulijaribu kuwashusha wenzako ili wewe upande ,hatimaye umeshuka wewe,yote ni kazi ya mungu,na tuseme Amen View attachment 1161513
Jamaa kakumbuka hadi vazi la kidini. madaraka matamu aliisahau wapi hii kanzu?
 
Zama za watoto wa kina fulani zinaanza kutoweka,ni uwezo wa mtu binafsi ,si mbereko
Naam thetallest. Tabia ya kubebana ndio iliyovifanya vyeti feki vikaharibu utendaji kazi ya sekta nyingi.

Mtu mwenye kufanya kazi akiwa amekaa katika kiti cha kuzunguka anamwambia ndugu yake wewe tengeneza tu gamba halafu uje mimi nitakupa kitengo upigaji kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom