Hakika kama Taifa kuna watu fikra zao zimelemaa sana. Karne hii ya sasa ya sayansi na Teknolojia bado kuna watu mnawaza udini? Kwamba uislamu na ukristu kipi ni bora? That's why tunaonekana as shit hole countries..
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mzee Mohamed Saidi nakusalim,
Bandiko limekaa kiudini sana hili! ilhali inafahamika tokea mwanzo hao wazee unaowatetea( babu zako) na kutaka historia yao iandikwe upya hawakua na tofauti na wananchi wengi waliojitoa kwa hali na mali kufanikisha uhuru wa taifa letu mfano ni parastatle...
Mkeo alipokua anatumia dawa za fungus nawe ulipaswa kuambatana nae upimwe U.T.I etc upewe na dawa husika kwaajili ya kumlinda mwenza wako.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.