Recent content by MSAFIRI KABULWA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya uvimbe chini ya taya

    Ushauri wa msingi uende hospital ukamuone dkt wa meno ambao taya ni eneo lao LA ubobezi atakupatia msaada kulingana na tatizo lako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

    Ukifika hapo utamkuta labda iwe dharula tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanya unaniharibia mipango, nisaidieni!

    Nenda kwa dentist akisha Fanya tathmini ikiwa ni pamoja na kuangalia kama kuna jino lililoong'olewa au LA. Dr anayeweza kufunga braces yuko Smile dental clinic iko Posta karibu Holiday Inn city centre
  4. M

    JamiiForums Tanzania Angalia Mtazamo wa Wazanzibari

    Tumeshindwa kukaa chini na kutafakari nini kimesababisha kufeli kwao na sasa wanalalama kila uchao. waislamu wapo ambao walikomaa wakafaulu lkn tukiendelea kupaka hina ktka miili yetu lini na saa ngapi utasoma. lkn pia wakumbuke waliofeli si wao tu wapo pia wakristu na hata wasio kuwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

    mkuyati og haihitaji ku-prove tangu lini sifuri ilalingana na mbili hata kama umesoma shule za kata na ukata. nashukuru kuturudisha darasani japo ni zaidi ya miongo miwili iliyopita tangu tuachane hisabati kama hizi. hatua ya tatu ndipo makosa yalipo
  6. M

    JamiiForums Tanzania JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    kwa uelewa wangu mdogo nadhani huenda hakukuwepo mawasiliano kati ya luhanjo na mkuu wa kaya ama walidhani ishu ifunikwe tu halafu jairo aendelee kuchangisha michango na kushiriki kusaini mikataba mibovu kwa maslahi ya watu wachache. Tunawashukuru wabunge kwa kutoamua kuomba mwongozo wa spika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

    Mzee cleopa ametumia nafasi yake kikatiba ya kutoa maoni yake kama raia wengine wanavyoweza kufanya na wala hakumtukana mkuu wa kaya. aliamua kuongea ukweli kwa kuweka wazi ili kuwa na tz yenye maziwa na asali nini kifanyike tangu sasa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni May 31,Sijafanya lolote la Maendeleo licha ya Mshahara mnono ninaopata !

    nadhani mkuu jambo la msingi ni kujipanga kwa kuhakikisha mipango yako ya mwaka huu uliyopanga inaendana na hicho kipato chako maana waweza sema hujanunua chochote cha maana lakini umesema unakula, kunywa ingawa hukusema hayo makulaji ni gharama kiasi gani. ni ukweli ulio wazi maisha ni magumu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hopeless

    though a constitution allows you to have freedom of speech, that is not the way. you might be fueling conflict unknowingly. think before you touch your keyboard plz
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

    pole kwa kufanya utafiti huo japo ningekushauri siku nyingine kabla ya kutoa majibu kwa wanajamii ungeenda mbali zaidi hata kuwaona watu kama katibu wa afya wa hospitali hiyo na medical officer incharge kumpatia taarifa hizo ili kusaidia kuondoa kero kama hizi
  11. M

    JamiiForums Tanzania ushauri wa mifugo, kilimo na biashara

    kwa huduma uliyodhamiria kuitoa ingekuwa vema ukatoa mawasiliano yako ili wana jf waweze nufauka na huduma hiyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya South Beach, ni kweli wauwaji wako nje kwa dhamana?

    wawekezaji wanalindwa hata kama wanavunja sheria za inji hii
Back
Top Bottom