ushauri wa mifugo, kilimo na biashara

mchafukuoga

Member
Apr 17, 2011
24
9
karibuni wadau wote wa mifugo kilimo na biashara.
natoa ushauri wa mambo hayo hapo juu
naweza pia kutibu magonjwa mbalimbali ya mifugo,kilimo. pia ushauri kuhusu lishe na pia michanganuo ya biashara , utafutaji wa masoko
tuwasiliane ili tuweze ksaidiana kuundoa huu umaskini.inawekana fanya sehemu yako.:bange:
 
Bwana mchafu kuoga ni huduma nzuri na watu wengi tunahitaji hizo hduma ila undetuambia kwa kifupi elimu yakokwa faida ya watu wengine ili tujue ni nani tunakuja kumuona asante sana
 
Ahsante sana kwa ujumbe wenu,
1. makazi yangu kwa sasa yako mbagala majimatitu.
2.kuhusu elimu yangu ni kama ifuatavyo;
- POSTGRADUATE DIPLOMA IN INTERNATIONAL BUSINESS MANAGEMANT(PGDIBM)
-ADVANCED DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION(ADBA)
-DIPLOMA IN ANIMAL PRODUCTOIN(DAP)
-CERTIFICATES IN CAPACITY BUILDING
KWA WALE WA KILIMO;
MAZAO YOTE NA MIFUGO YOTE PIA.
KARIBUNI.

WASILIANO. 0713921703
PIA KARIBU KWENYE BLOG.
WWW.biasharanikilimo.blogspot.com
 
Ahsante sana kwa ujumbe wenu,
1. makazi yangu kwa sasa yako mbagala majimatitu.
2.kuhusu elimu yangu ni kama ifuatavyo;
- POSTGRADUATE DIPLOMA IN INTERNATIONAL BUSINESS MANAGEMANT(PGDIBM)
-ADVANCED DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION(ADBA)
-DIPLOMA IN ANIMAL PRODUCTOIN(DAP)
-CERTIFICATES IN CAPACITY BUILDING
KWA WALE WA KILIMO;
MAZAO YOTE NA MIFUGO YOTE PIA.
KARIBUNI.

WASILIANO. 0713921703
PIA KARIBU KWENYE BLOG.
WWW.biasharanikilimo.blogspot.com

Sasa umeeleweka,mimi nafuga samaki,je una uzoefu pia ktk eneo hili?
 
Back
Top Bottom