Mchapakazi
Member
- Feb 24, 2008
- 67
- 18
Mvumbuzi nainze kwa kuuliza mgonjwa wako uliyekuwa unamwombea drip ana diagnosis gani? Unajuaje kama hivo drip zingeendela ndo zingemuua hata kabla ya hiyo njaa? Unajua shida ya wau wengine ni kupenda kurukia rukia vitu kama moto wa masago. Kama fani hauijui tuliza kipago na utafuta information za kutosha kabla ya kutokea ukumbini na kuanza kulaumu kila mtu. Ulichofanya hapa ni generalization kwa wahudumu wa afya bila kujali kwamba katika nchi hii kuna watu wanafanya kazi katika mazingira magumu kwa kujitolea kwa hali ya juu ili kuokoa maisha ya Wadanganyika. I do not care kama uta-retract your statements au utaziacha that is up to you.
I smell a dead fish here: Unalijua jina la daktari vizuri lakini it seems jina la nurse ambaye ndo aliongoza kwa kukufanyia uhuni hautaki kulitaja ila kutumia vague description ya mmachame mweupe. Kwa nini nisamini kuwa una ugomvi binafsi na huyu daktari uliyemtaja na nia yako ni kumchafulia jina tu? Kama wewe ni mtu makini na umeamua kutaja majina mbona hukutaje yote? Ya watu waliokuterorize?
Halafu unaendela kulalamika kuwa daktari kajaza discharge kaweka kwe file. That is where they are put. Na alichofanya ndo sahihi. Anajaza anaweka kwe file Nurse na attendant wataangalia katoa maagizo gani wanatekeleza na hiyo discharge form kama inavyosema. Anaweza akachelewa kujaza kama kwa mfano kuna mtu kazidiwa ahwezi kuendelea kuandika discharge ili uende nyumbani wakati mwenzio anakufa. Anaenda kule kwe emergency. Wewe kusubiri discharge basi unaona kama huyo daktari alikuwa nacheza bao sio?
Unaweza kuwa na malalamiko ila ulivyoyaweka hapa jamvini behind the veil bila kujulikana wewe ni nani, malalamiko yako yalivyokaa kushoto kushoto. kukosekana kwa details nyingi za msingi inanifanya nikuone tu kama mmojawapo wa watu wasiokuwa makini.
Daktari mmoja anahudumia watu 30000 WHO inashauri wawe 7500 hiyo ni 4x ya idadi inashauriwa na WHO kazi ni nyingi na mambo ni mengi kama unataka utibiwe akikuchekea you are in a wrong place 300 people wanasubiri attention yake and tehre is no time to waste bro/sister. Rudi tena Mount meru record evidence nenda mahakamani au leta hapa jamvini tuone hayo unayoyasema.
Ukishajibu maswali yangu hapo juu naweza kukuongezea kashauri kadoogoo cha kukusaidia kwa siku za baadae ukiwa na mgonjwa aka ukiumwa.