Recent content by msabaha

  1. M

    Hivi vijana wa Tanzania mmerogwa?

    umeharibu kumtaja huyo MAGU!
  2. M

    Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

    sawa kaka ntakuita dogo
  3. M

    Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

    kwani mliwahi kuambiwa kua huyo jojo ni mwanamke wa huyo kiba?!
  4. M

    Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

    kwani kuna mtumishi alizaliwa na experience?
  5. M

    Hivi kwanini gredi C students wanafanikiwa sana maishani?

    grade c students (normal learners) hawa hawapo talented kama grade A learners, hutumia nguvu nyingi na kusoma kwa bidii ili wafaulu ufaulu wao hutokana na kusoma sana pia ni waoga sana kufeli na hua makini mno...hii pia inawezekana ikawasaidia kisaikolojia hata kufanikiwa katika harakati za kimaisha
  6. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    uchawi wa kupuliza ni upi na una madhara gani...na ni ipi tiba yake?
  7. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    naomba kufaham njia rahisi ya mtu aliyefungwa kichawi kujifungua kutokana na vifungo vya kichawi
  8. M

    List ya wasanii waliopotea baada ya kufanya kolabo na Diamond

    jua kutofautisha kati ya WIMBO na NYIMBO na sio kwenye WIMBO wewe unasema NYIMBO
  9. M

    Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

    ina maana hujui kua mwanamme mmoja anatakiwa kuoa wanawake wanne?!
  10. M

    Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

    kuna wakati moyo unaniumaaa...
  11. M

    Penalty ya 10% kutoka HESLB kwa walimu tarajali 2015

    mi naona huo mkopo ungekua ruzuku tu! msituchoshe akili bure
  12. M

    Wanawake na umbea wa saluni

    [emoji12] [emoji6] kama ambavyo wewe usivyonipenda au kama ambavyo nyinyi msivyonipenda?
  13. M

    Wanawake na umbea wa saluni

    sikuhizi hata kwenye madaladala wanapeana umbea kujichekesha kwa sauti makelele bila aibu wala kujali kuwa wapo kwenye usafiri wa umma...SIWAPENDI HAWA!..
Back
Top Bottom