DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,960
- 11,432
Maisha ni zamu kwa zamu sisi walimu wa art hatuna kazi leo lakini nao tutawafanya wanasiasa wa art 2020
Ndo nchi yetu tena, hatuna cha kufanyandio unafiki wa chama cha kijani
Nj00 tufuge kuku wa nyama na wa mayai watatupa maisha b0ra acha kubweteka bhanaWengine tupo tu nyumbanii
Kama kujiunga bure nakuja pm mkuuNj00 tufuge kuku wa nyama na wa mayai watatupa maisha b0ra acha kubweteka bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tunapoelekea sasa vyuo vitaanza kutoa degree za waiz ilo angalau ata tujiajir mtaan
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ni shigdaaa ni mhanga nae[emoji3][emoji3]nae ni mhanga nn