Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Leo nimewaletea list ya wasanii waliopotea baada ya kufanya kolabo na Diamond wapo pia walioendelea kutoa nyimbo mbili tatu baadae wakazima kabisa.
List hii hapa;
1.Chid benz
Rapa mkali aliyewahi kukubalika miaka iliyopita alifanya kolabo na Diamond kipindi Diamond bado hajajibrand kama sasa kwenye nyimbo nalia ilisikika saut ya chuma baada ya hapo kimya mpaka Leo.
2.Hawa
Alisikika kwa nyimbo ya nitarejea wengi walitegemea makubwa lakini halo ikawa tofauti mpaka sasa, hajatoa nyimbo iliyofanya vizuri.
3.Keisha
Nyimbo ya Keisha nimechoka aliyomshirikisha Diamond ndo ilikuwa nyimbo ya mwisho kutoa mpaka leo hatujamsikia tena.
4.Linex
Nae pia alifanya kazi na Diamond kwa nyimbo ya Salima iliyofanya vizuri hakuishia hapo akatoa nyimbo nyingine ilifanya vizuri baadae kimya sasa katoa nyimbo inakwenda kwa jina la kiherehere ambaye haijafanya vizuri.
5.Chege
Baada ya kutushtua watanzanis na nyimbo ya wacha waowane aliyofañya na Diamond. Sasa amekuja na nyimbo ya aliyemshírikisha Nàndi ambayo haina ukubwa wa acha waowane huyo tumpe mda.
6.Ay
Nae pia baada ya kufanya remix ya zigo na Diamond ilifanya vizuri Afrika kiujumla sasa amekuja kutoa nyimbo aliyemshirikisha msanii wa Kenya haina ukubwa ule wa zigo remix.
7.Yamoto band
Wengi watauliza hii Diamond amehusikaje lakini baada ya nyimbo ya cheza kimadoido ambayo Diamond ndo àlíyéigharamia. Video ile na yeye pia akapata nafasi ya kuonekana hasa ndo Ukuwa mwisho wa Yamoto Band kuendelea kutrend mpaka sasa Yamoto Band wapo kimya.
8.Lina
Baada ya kuirudia nyimbo ya Diamond kizaizai waliofanya wote Lina aliendelea kutoa nyimbo kali ikiwemo oletemba baadae nyota yake ikafifia mpaka sasa hakiki kama zamani.
9.Davido
10.P square