Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Kilichosemwa ni mgogoro na serikali na sio mgomo.Msilolijua ni usiku wa kiza tena kinene hasa.Acheni kutoa povu bure.
Mwita we need to be positive wakati fulani. Tusijione kama we are cursed. Tuache woga. Kuna mahali mwanzo unapatikana. Just imagine kama Yesu angeogopa kusulubiwa mimi na wewe tungeokolewa? Wewe jina unalotumia linamaanisha unajua lisaro si ndiyo? Sasa ujasiri uanzie hapoWataanzia wapi kugoma
Huyo mtu wako hana ujanja wala boss wake hana ujanja na waziri mkuu anajua kwamba post yake iko hatarini. Maana kuna vote of no confidence bungeni. Je yuko tayari?Kuna mgomo kweli? Au umekuja na hizi porojo ili tusahau mambo ya bwana DAUDI ALBERT BASHITE! Mimi siwezi sahau mpaka atumbuliwe.
Achana na mihemko yako,mambo ya bashite yanakuhusu wewe na hiyo mihemko ulonayoKuna mgomo kweli? Au umekuja na hizi porojo ili tusahau mambo ya bwana DAUDI ALBERT BASHITE! Mimi siwezi sahau mpaka atumbuliwe.
Huyu atakua Bashite wewe! Kweli kabisa umeenda shule? Umesoma kwa mkopo na leo unakatwa asilimia 45 ya salary bado unasema walimu ni wito ?? Duuu ya walimu kweli tuwaachie wenyeweWalimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
Sawa mwanafunzi wangu naona umekua sasa na maisha yanakupiga,pole sn ila usimalizie hasira za ugumu wa maisha hapa we pambana utafika tu kama sie walimu wakoAcha kupotosha umma, kama kweli wewe ni mwalimu basi Taifa lina hasara, taarifa kuwa kesho walimu wanagoma umezitoa wapi, mwalimu hujui tofauti ya mgogoro na mgomo?
Una haki ya kuitwa mwalimu.
Dawa ya mkopo ni kulipa ndugu najua ni chungu hii ila meza tu maana ndo dawa yakeHuyu atakua Bashite wewe! Kweli kabisa umeenda shule? Umesoma kwa mkopo na leo unakatwa asilimia 45 ya salary bado unasema walimu ni wito ?? Duuu ya walimu kweli tuwaachie wenyewe
Yesu hakusulubiwaMwita we need to be positive wakati fulani. Tusijione kama we are cursed. Tuache woga. Kuna mahali mwanzo unapatikana. Just imagine kama Yesu angeogopa kusulubiwa mimi na wewe tungeokolewa? Wewe jina unalotumia linamaanisha unajua lisaro si ndiyo? Sasa ujasiri uanzie hapo
kwani kuna mtumishi alizaliwa na experience?Wewe wacha zako hizo
Wana experience?Msije mkatuletea walimu aina ya Daudi kumfundisha watoto wetu. Qualified and experienced teachers ndo wanastahili; ama muwalipe au wagome tu
Ila nini kilitokea mkuu?Yesu hakusulubiwa
Kulipa si shida ila kuheshimu mkataba na utaratibu sahihi sio uonevu na utapeli mkuu namna hiiDawa ya mkopo ni kulipa ndugu najua ni chungu hii ila meza tu maana ndo dawa yake
Sawa mwl usie jielewa, acha kufuata mkumbo kwa jambo usilo lijua, tafuta mwakilishi wako wa CWT akuelekeze tofauti ya mgogoro na mgomo.Sawa mwanafunzi wangu naona umekua sasa na maisha yanakupiga,pole sn ila usimalizie hasira za ugumu wa maisha hapa we pambana utafika tu kama sie walimu wako
Tanzania bado hakuna watu wenye uwezo wa kugoma , hao walimu mwaka wa kumi sasa kila siku wanatangaza siku ya mgomo na hakuna kinachotokeaWalimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
Asant ndugu yangu unaejielewaSawa mwl usie jielewa, acha kufuata mkumbo kwa jambo usilo lijua, tafuta mwakilishi wako wa CWT akuelekeze tofauti ya mgogoro na mgomo.
Over....