Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

kama hupendi kuitwa kaka utaitwa dada. unasemaie hapo? vile vile kaka inamaana yake. (kinyesi) kwa kifaransa. mwengine labda kakuita kamaanisha ivo. sijasema mimi
 
Kinachouz n kutomaanisha hiyo kaka yenyewe
Oooh hapo nmekusoma sasa maana hata joseph manji alimaindigi sana kuitwa kaka mbele ya media na kuhusishwa na ubuyu at the same time akaona unafik wa kiwango cha standard.
 
Unahitaji ushauri nasaha wewe. Nina imani kuna kitu hakijakaa sawa up-stairs.
Siamini issue ndogo namna hii waweza ileta JF. Pole sana brother!
Ebu nipe criteria za kuleta Uzi JF!!... I think u are the one who is problematic here
 
Kwani kuna ubaya gani kaka? KAKA huonyesha heshima na undugu kati yenu,
 
JF,

Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.

Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.

Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.

Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.

Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "

INANIBOA

SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE




We mtoa mada I navyolalamika utakuwa unaishi Bashite City almaarufu Dar ,so tukuite mwanaume wa Dar
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Mnazidi tu kumkera jamaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom