nakupongeza Hossam mtoa hoja. Ila hapa naomba niseme haya. Sisi watanzani ni vigeugeu . Isitoshe upeo wetu wa kufikiria ni mdogo sana. Mtu anatoa mawazo mazuri ya kuasaidia anatokea mwengine anaponda mawazo yale kwa ubabe. Badala kupinga kwa hoja inayoeleweka. Daima 2 tabaki kuwa watumwa kwa...
love love love everyone talk about love.............tel me freind what is love my side i dont understand and i dont want to accept it. pleaz explain it for me.
nikweli unayo sema na uko sawa kabisa ndugu yangu ila sisi watanzania ni vipofu hatuyaoni haya na ndio maana siku zote utumekuwa mstari wambele kushabikia yale tusiyoyajuwaaa na ndipo madhara yanapotukutaa.
Sekretarieti ya mkoa wa Dar es salam imempa adhabu kali Mhe.Iddi Azzan, baada ya hivi karibuni kutolewa kwenye magazeti mbalimbali kuitaka sekretarieti ya mkoa huo kujivua magamba na kwa kilo kinachosemekana kuwa sekretarieti hiyo imejaa ufisadi.
Mbunge huyo amekaripiwa vikali na kuonywa...
Kiu kweli naona ccm suala la kujivua magamba wanacheza nalo maana haimkiniki mafisadi hao hao wampe adhabu mtu amabet anawatuhumu wao kwa ufisadi then wao wamuadhibu'
Baada ya siku kadhaa mhe Iddi Azzan kuitaka sekretariet ya mkoa wa dar es salaam ijivue gamba.
"atolewa kafara na sekretarieti hiyo kwa kukemewa vikali na kutakiwa asizungumze na waandishi wa habari pamoja na kuto kugomea nafasi yoyote kwa kipindi cha miezi kumi na nane,
je ni kweli chama...
Hivi karibuni CCM imekuja na kauli mpya "MAFISADI WOTE WAJIVUE MAGAMBA KUANZIA TAIFA MKOA MPAKA CHINI KABISA" lakini chakusikitisha chama hicho hicho katika Mkoa wa Dar kimeamua kumpa adhabu kali ya kumtaka Mbunge Iddi Azzan kuto zungumza na vyombo vya habari, pia imempa adhabu ya kuto kugombea...
Napinga point ya kusema kuwa mbunge wa cdm asifikiriwe vibaya...kwa kauli yake "funga milango tupigane" pale bungeni ni sehemu ya hoja na sio kupigana isitoshe kila mbunge anapo iingia bungeni hupitia mlangoni na kuingia ndani ni kwa electronic card so milango huwa teyari imejifunga......so...
Aiseeee.....watu hawautaki muungano kwa sababu hauna faida nao.......mfano mdogo tu. mtu akiwa anatoka Zanzibar na mizigo yake ya biashara antakiwa ailipie ushuru. huoni hapo kama ni kulanguliwa halafu uaitwa muungano.......hakuna kitu kama hicho ndugu yangu bora muungano uvunjike ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.