Recent content by mrtanzania

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kufanya hivi ni ukata au ni adhabu

    Pigeni 8% ya mshahara wako then uone kama baada ya miaka 10deni litaisha. Nakumbuka Walio wengi wanadaiwa zaidi ya 12-15mln
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atumbua walimu wakuu 63

    Hao watu siwapendi na sijui chama cha wafanyakazi wanafanya nn?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ametuaibisha

    Huyo tabia zake ndo zimefanya jamaa amkomoe kwa kutupia picha zake za uchi huenda atajirekebisha na kumrudia mungu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Kanisa ni moyo wako na ukiwa smart enough komaa na ubatizo mmoja nikiwa na maana kuwa kanisa ulilobatizwa. Point note fuata maandiko sio matendo ya mtu maana hakika kuna manabii na mabango kibao utadhani waganga wa jadi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wahusika mtandao wa Tigo acheni wizi

    Sinahamu nao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni bei ya bidhaa za Chakula katika maeneo mbali mbali Tanzania,

    Inategemeana na mikoa. Ila kwa iringa mahindi gunia ni 80000 hadi 100000 na ni kawaida kwa miezi hiiii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa: Tigopesa wanadhulumu hela za wateja?

    Katika mtandao unaonikera kwa kutuma pesa basi tigo. Sinahamu nao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamani hali ya mahindi ndo hiyo kuna chakula hapa?

    Smartphone usipokuwa makini kuandika matusi itakuwa jadi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

    IRDP inauza kwa faculty zingine ila sio finance. Mi nimesoma IRDP na usaili wangu ulikutanisha wasomi wa vyuo mbalimbali kuasi cha kuhisi napoteza mda kwenye usaili ila mwisho wa siku mtoto wa mkulima nikapata kazi. Ifm na udsm kuna upendeleo wa siku nyingi sana na ukiangalia sana utajua hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    Heshima ya degree inarudi sasa japo ajira shidaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

    Tambueni issue haina ushahidi na kama alikula sumu je maiti itafukuliwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu hela iliyotumwa M-Pesa kwenda bank na haikufika

    Wambie washitishe hizo pesa zilirudi m.pesa. na huo ni wizi unaofanywa na haya makampuni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa mashoga Dar, nini kifanyike?

    Mwambie makonda mbona anakomaa na watumishi huku mashoga wanaongezeka mitaani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Wachagga mbona mnatutesa hivi hapa Ubungo Terminal?

    Hatujawahi kukosa kwenda hivyo subiria
Back
Top Bottom