Jamani hali ya mahindi ndo hiyo kuna chakula hapa?

Jamani hali ya mahindi ndo hiyo kuna chakula hapa?

jumanne12

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
419
Reaction score
277
3f69ab4e0478d2e05dc7887891441036.jpg
 
Wapi huko mkuu?

Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa wa eneo hilo wajiandae.
Nawaza tu.
 
Atasema hilo nalo ni gazeti la upinzani ...Yaan kichwa chake ndani ni matope tu. ..
 
miaka mitano kama karne!!
Natamani miaka mitano ikiisha tu, na Yesu arudi
 
Back
Top Bottom