Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

IRDP inauza kwa faculty zingine ila sio finance. Mi nimesoma IRDP na usaili wangu ulikutanisha wasomi wa vyuo mbalimbali kuasi cha kuhisi napoteza mda kwenye usaili ila mwisho wa siku mtoto wa mkulima nikapata kazi.

Ifm na udsm kuna upendeleo wa siku nyingi sana na ukiangalia sana utajua hata wanaosoma huko wengi ni dvsn one advance.
Comedown bro Mungu hajakutupa ipo siku utapata kazi tena usioidhania.
 
IRDP inauza kwa faculty zingine ila sio finance. Mi nimesoma IRDP na usaili wangu ulikutanisha wasomi wa vyuo mbalimbali kuasi cha kuhisi napoteza mda kwenye usaili ila mwisho wa siku mtoto wa mkulima nikapata kazi.

Ifm na udsm kuna upendeleo wa siku nyingi sana na ukiangalia sana utajua hata wanaosoma huko wengi ni dvsn one advance.
Comedown bro Mungu hajakutupa ipo siku utapata kazi tena usioidhania.
kabisa
 
Sio kweli. Huwezi zidi uwezo mwanafunzi wa UDSM.... Ukiwa na firts class vyuo vingine ni sawa 2.7 ya Ud...
Watanzania nyiekwanyie mnapondana katika elimu,je unategemea elimu yenu itakuwa accredited na watu wengine?mtaishia kulalamika ajiraajira mwisho mnakufa na pressure
 
[Q"brillnoel, upo sahihi ila huwezi ku-ignore the fact that GPA ni kivutio kizur [/QUOTE] Ni kweli kuwa GPA ni kivutio kwa mwajiri. Hii humsukuma mwajiri kutamani kukuona kwenye interview. Ila thamani ya GPA huongezeka au kupungua baada ya interview. Kumbuka kwamba watakaoitwa kwa interview watakuwa na average fulani ya GPA zinazokaribiana.
 
Kazini kwangu nimeajiriwa now nina mwaka. Nimebahatika kuwa karibu sana na boss wangu hatimae tumekuwa washkaji. Juzi ndo alikuwa ananiambia aksema namnukuu "frankly speaking tangu nimekuwa boss hapa mwaka 2013 mpaka hawa niliowaajiri jana, wanafunzi wanaotoka IFM na UDSM huwa wana perform vizuri sana katuka interviews na hata kazini kwenyewe" Alidiriki kabisa kuvitaja majina vyuo kama UDOM na CBE kwamba product zake zinampaga shida sana. "Anaweza akaja mtu wa UDOM kwa muonekano wake ukajua atakuwa smart sana lakini ukifanya nae conversation unachoka. Wa CBE wengine hata kujieleza hawawezi. Hata baadhi ya basic computer programs hawawezi kuzitumia." Na akasema kabisa bila chenga kwamba ameshawishika kuwa anawa consider zaidi wanafunz wa UD na IFM. Hii kampuni ipo mkoani. Na huku mkoani kuna vyuo pia. Lakini always candisates wa UD na IFM are the best! Sasa nyie mnaokazana kuonesha umahili wa kuponda vyuo na kutoa povu shauri yenu! Washaurini wadogo zenu wakasome UD au IFM japo sijui kama watafanikiwa kuhitimu maana ule mziki kama huuwezi hata semister moja haiishi!

NB: Kuonekana unajua sana kuiponda UDSM au IFM hakutakupa ajira kirahisi! Kama una kabachela chukua hata post graduate diploma UDSM au IFM upigwe msasa na uvutie waajiri. Kujaza maneno ya kashfa kwa hivi vyuo hakutabadilisha ukweli.
Mkuu je Mzumbe?
 
Soma kozi ambazo hazipatikani UDSM wala IFM tuone watapendelea vipi, hahahah! Nendeni mkasome ARU, tuone utapendeleaje wakati fani inapatikana chuo kimoja tu..., hahahah
 
Back
Top Bottom